Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Mzee tunaongelea utekaji. Mauaji hata madereva wa mabasi kila siku wanaua watu barabarani..polisi wamewahi kuua raia nchi hii sembuse kuteka? Hukuona kilichomtokea Daudi Mwangosi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee tunaongelea utekaji. Mauaji hata madereva wa mabasi kila siku wanaua watu barabarani..polisi wamewahi kuua raia nchi hii sembuse kuteka? Hukuona kilichomtokea Daudi Mwangosi?
Kuna uwezekano watekaji sio part ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Which means ni vijana tu makatili wanaotumiwa kwa ujira na kufanya kazi kwa maelekezo ya mabosi wao wanasiasa.
Lakini inawezekana pia ni vijana waliochomolewa kwenye taasisi yetu ile nyet na kufanya kazi nije ya utaratibu wao rasmi. Afadhali kama ni kundi la kwanza maana kwa jinsi walivyo kanwa na mamlaka rasmi kama ni hilo kundi la pili patakua shida.
From now on kosa dogo kwenye timing yao ndugu zao na taifa litapata hasara maana ni vijana wetu. They are working day and night for safety of this nation na sio kulinda interest za mtu mmoja.
Nimewahi kushuhudia askali wa voda fasta akipigwa hadi kuzimia na mob justice pamoja na bastora yake pale Mindu village morogoro. Hao watekaji wamekanwa na mamlaka zinazo tambulika. And they are not that invisible wasijidanganye, i dont want to imagine what will happen to them siku wakistukiwa.
Hivi hakuna namna ingine which is the best way kusolve What ever the misunderstandings tulizo nazo?
Hii komoana, visasi , kutekana itapelekea maafa kwa victims na hata watesaji wenyewe. Narudia tena they are not that invisible na vijana ambao wanatii amri haramu huku
Kapigwa virungu ama?Mzima kivipi wakati kapelekwa hospital
Mzee tunaongelea utekaji. Mauaji hata madereva wa mabasi kila siku wanaua watu barabarani
Sijaelewa ushuzi ulioandika Hata kwa kurudia rudia. Usk mwemaKama unaelewa nguvu za Serikali. Usingeandika gazeti refu. Na sijaona ukisema kuwa katika mazingira haya ya Watz wengi wa mitandaoni kupenda kutuhumu bila ushahidi ni rahisi mtu wa pembeni ambaye anwajua kondoo zake walivyo kufanya matukio ya ajabu. CIA Wanafanya sana kwenye nchi ambazo wanabania masslahi ya USA. Wtz hatujui tunataka nini. Kwa maana hiyo. Hakuna kiongozi mtakayempenda. Labda muuza Nchi. Ambaye .siasa kwa kiongozi wa juu huwa tunahitaji will power na msimamo ,wtz wanataka mtoa hela. Tukijua kabisa Sisi ni maskini sana. Ila kila siku Mifano USA. Oh Ulaya. Nk.
Movie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.
Vyombo vya dola vya bongo vinatuchukulia poa sana ndo maana watu wanathubutu kwenda nyumbani kwa mtu na kubeba vifaa na kukamata watu bila hata mjumbe kujulishwa-ambapo hata akijulishwa ni kinyume cha sheria kwenda kwa mtu na kupekua na kubeba vitu usiku bila hata search warrant.
Vyombo vyetu vya dola vinatumia mwanya wa watanzania wengi kutokuwa na silaha. Yes! Ukiwa na silaha yako una haki ya kupiga risasi na kuua mvamizi yoyote anayekuja kwako usiku. FBI learnt the hard way about taking matters into their own hands during what is famously known as the Waco Siege.
Kwa kifupi, familia ya mchunguji flani jamii ya kibwetere alikuwa na ranchi yake ambapo waumini wake walikuwa wameleweshwa imani na walikuwa hawaambiliki. Mchungaji huyo pia alikuwa na duka la kuuza silaha. FBI walikwenda kwake bila search warrant, tena mida ya usiku wakiwa wanamtuhumu kwa makosa ya silaha na madawa ya kulevya. Walipoingia kwenye ranchi hiyo sekeseke walilolipata hawatakuja kulisahau maana liliua watu 82 wakiwemo askari na waumini wa jamaa. Na risasi zilipigwa kwa siku 50! Kosa la FBI lilikuwa kwenda kwa jamaa bila search warrant, kama Roma alivyodakwa bila search warrant wala mwenyekiti wa mtaa kujua, Tena unapobeba mali za mtu nyumbani kwake, kimsingi unampekua. Ndugu zangu, sheria inawalinda siku mkikutana na askari wajinga kama hawa, if you are loaded, take them down.
Kwa mengi zaidi kuhusiana na Waco Siege:Raid, fire and rubble: The Waco siege in pictures 20 years on from the cult massacre
KWELI LKN HATA MIE NILIONA LAHRoma anasema yupo vizuri lakini ukiangalia wakati anashuka kwenye gari ni kana anachechemea. Na pia ukirejea kauli ya Wakili wake anasema Roma hayupo vizuri ana majeraha mwilini.
nimeyaamini maneno yako leo mara baada ya Waziri mwenye Dhamana kujiumauma kujibu maswali ya waandishiMovie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.
Eti mimi ndiye waziri mwenye dhamana na yoyote anaetaka kumhoji msanii nifahamishwe. Maaana yake ni kuwa serikali haihusiki. Hawa wanatufanya sisi ni watoto wa chekechea ehh.nimeyaamini maneno yako leo mara baada ya Waziri mwenye Dhamana kujiumauma kujibu maswali ya waandishi
ngoja tuone mwishowe... Hii nchi ...puuuuuuuuu!!!!!!iiiiiEti mimi ndiye waziri mwenye dhamana na yoyote anaetaka kumhoji msanii nifahamishwe. Maaana yake ni kuwa serikali haihusiki. Hawa wanatufanya sisi ni watoto wa chekechea ehh.
Aisee..kama wanaweza kuua basi hata kuteka wanaweza.
Bado mpaka leo unaamini Roma alitekwa!!!!!???wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa watesi
Aisee