VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

..polisi wamewahi kuua raia nchi hii sembuse kuteka? Hukuona kilichomtokea Daudi Mwangosi?
Mzee tunaongelea utekaji. Mauaji hata madereva wa mabasi kila siku wanaua watu barabarani
 
Huku zanzibar kuna mazombi yanajifunika nyuso kushambulia raia,mamlaka za nchi hawawatambui mazombi hayo kwa hiyo si ajabu hata huko kwenu watekaji hawatambuliwi na mamlaka za serekali,kilichobakia kwa raia ni kujihami zidi ya vikundi hivyo la sivyo mtamalizwa watanganyika.
 
Nilishawah kujiuliza hiki kitu kuwa ikitokea hawa watekaji wakizidiwa nguvu/ timing na wakafanywa vibaya ikaja kugundulika n sehemu ya vyombo vya dola, je watakanwa na govt, ama watatetewa na govt!!???
 

Kama unaelewa nguvu za Serikali. Usingeandika gazeti refu. Na sijaona ukisema kuwa katika mazingira haya ya Watz wengi wa mitandaoni kupenda kutuhumu bila ushahidi ni rahisi mtu wa pembeni ambaye anwajua kondoo zake walivyo kufanya matukio ya ajabu. CIA Wanafanya sana kwenye nchi ambazo wanabania masslahi ya USA. Wtz hatujui tunataka nini. Kwa maana hiyo. Hakuna kiongozi mtakayempenda. Labda muuza Nchi. Ambaye .siasa kwa kiongozi wa juu huwa tunahitaji will power na msimamo ,wtz wanataka mtoa hela. Tukijua kabisa Sisi ni maskini sana. Ila kila siku Mifano USA. Oh Ulaya. Nk.
 
Hivi pale ofisini Ilala watu wanaangalianaje bosi wao anapoingia huku kagubikwa na tuhuma nyingi na chafu namna hii? Mara vyeti, mara kunyang'anya matajiri mali, mara kusingizia uongo watu, mara tena malinda na sasa utekaji watu!
Hivi kweli huyuhuyu aliyekuwa anasema ofisi yake yote wafanyakazi wa kweli hawazidi wanne wengine ni mzigo hata wakiondoshwa anaweza kweli kufanya kazi kwa ufanisi tena?
 
Bongo ina mengi mama ee, kila kukuchapo mambo mapya - King Kikii
 
Reactions: Mj1
Sijaelewa ushuzi ulioandika Hata kwa kurudia rudia. Usk mwema
 

Nakubaliana na uchambuzi wako 1000%.

Wow! Good story, I remember that day very well It was summer of 1996...This saga is also well known as "The Davidians" It happened during Clinton administrations under the order of the Attorney General (AG) the late "Iron lady" Janet Reno.

Kwa kifupi, US government, hata kama iliwashinda waumini wale kimabavu kwa kuwachoma kwa moto wa gesi waumini wale mchana kweupe na huku ikitumia silaha zote nzito za kivita vikiwemo vifaru na magari ya dereya ndani ya himaya (ranch) ya "The Davidians" haitokaa isahau upinzani mzito walioupata kwa wahanga wa kundi/jamii ile lililokuwa linajitambua na kutambua haki zake. Binafsi naweza kusema lilikufa kishujaa.

Serikali ya Tanzania ya sasa inawachukulia WaTanzania for granted...lakini wakae na wajue mbegu ya "radicalism" wanayoipanda kwa dhuluma hizi siku moja itafika mahali watu watasema 'enough is enough" kama "mbwai na iwe mbwai "
 
wenye akili tumeshajua kilichoendelea!!!!! wamefungwa speed gavana kama Dr. olimboka, Serikali hii ya CCM majanga@
 
nimeyaamini maneno yako leo mara baada ya Waziri mwenye Dhamana kujiumauma kujibu maswali ya waandishi
Eti mimi ndiye waziri mwenye dhamana na yoyote anaetaka kumhoji msanii nifahamishwe. Maaana yake ni kuwa serikali haihusiki. Hawa wanatufanya sisi ni watoto wa chekechea ehh.
 
Eti mimi ndiye waziri mwenye dhamana na yoyote anaetaka kumhoji msanii nifahamishwe. Maaana yake ni kuwa serikali haihusiki. Hawa wanatufanya sisi ni watoto wa chekechea ehh.
ngoja tuone mwishowe... Hii nchi ...puuuuuuuuu!!!!!!iiiii
 

..aisee?!

..let me give u hint na haya mambo ya utekaji.

..tafuta habari za kisa cha Matiko Matare aliyekuwa kiongozi wa mgomo wa wanafunzi udsm na Jaji Warioba wakati huo akiwa Waziri Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…