VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

Hahahah...hakyanani[emoji122][emoji122][emoji122]
 
duuuuuh hii kwl ni tanzania ya vi wonder
 
Wakati Nape akiwa live kwenye mkutano wake ndipo Roma alipopatikana..... Hivi bado kuna mtanzania anaetia Shaka na utekaji huu labda kama una mtindio wa ubungo. The whole thing ya Roma kutekwa ilikuwa ni kuwaondoa watanzania kufatilia atakachosema Nape na kuhakikisha Kesho media zoooote zitamuandika Roma na sio Nape...
 
Hii ni safari, Mwaka au miaka itakatika hivi kwa kuangalia maslah ya mtu.. tafuta maslah yako ili usogeze familia yako, pale wazazi wako walipo anza na wewe, fanya watoto wako waanze juu ya pale. Upendo na uvumilivu ndio njia kuu.
 
Kupatikana kwao hakutoshi, tunahitaji kujua nani wamewateka na kwa sababu gani? Je, serikali hasa jeshi la polisi watuambie wamechukua hatua gani au wanatarajia kuchukua hatua gani kwa watu kujichukulia sheria mkononi? Kama watanzania tunaopenda kuishi kwa amani na tunaiheshimu pia kuiamini serikali, tunahitaji kusikia kauli ya serikali juu ya jambo hili. Ikikaa kimya tutakuwa na majibu yetu wenyewe maana hatuna wa kutupa majibu sahihi.
 
Vijana wa idara ya Usalama wana akili kubwa, hasa wale waliokosa ajira kwenye mchujo wa Interview CIA, MUSSAD, TISS (Tanzania), n.k.

Kuna watu wanaishi kwa kusumbua na kuhangaisha industries na brand za watu. Wengi wao huwa ni wanasiasa hasa pale wanapotaka kuwa na status kama za wananchi wao...meaning, kiongozi anaweza kuwa hata ni fukara asiye na elimu, lakini ana kipaji cha uongozi, anaowaongoza wengine ni matajiri kumzidi, so tatizo huja pale anapotaka kuwa tajiri kama wao...HII NDIO SABABU HAKUNA MWANASIASA TAJIRI AMEWAHI KUWA LISTED KWENYE FORBES, AU ORODHA YA MATAJIRI DUNIANI.

Professa J, Babu Tale, Roma na uongozi wako, Diamond Plutnumz, RC Makonda, Nape na Baraza la Waandishi wa Habari Tanzania; acheni kusumbua watu, tuacheni tufanye kazi.

Mnachokifanya sio kipya, kila Ikulu, kila ofisi ya Mkoa katika kila nchi hizo ndio shughuli zake. Kinachonishangaza iweje watu wazima kama nyinyi mnaojinadi wazalendo ndio muwe wa kwanza kununuliwa?? What is money to you guys? Coz kama ni hela mnayo, shida ni nini, majina?? Mbona mkuu wa mkoa kachafua majina ya watu lakini ndo kwaaaanza wanapiga kazi?

Anyway, ila kwa sasa, kitengo cha TISS kina sifa mbaya kimataifa ya kukosa weledi na kuheshimu taaluma ya usalama na kinalijua hilo. Mfano hai ni Wapelelezi 19 kukamatwa Malawi.....19 πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚

Niweke bayana kuwa Dar es Salaam ndio Tanzania, na mikoani ndio kuna Wakuu wa mikoa...Mkuu wa mkoa Dar es Salaam (capital city) ni mlinzi wa mali za Rais wa nchi. Hivi ndivyo ilivyo hata Ulaya.

Tatizo RC wa sasa ni limbukeni wa mafanikio na utajiri. Naomba mjifunze kwa kinachomtokea Zuma kule South Africa sasahivi...kama kuna Rais ambae kawekwa kitimoto na amekalia ncha ya mkuki ni Jacob Zuma...kwahiyo kwa Magufuli tutasubiri sana...

Tekeni, teseni, uweni, yayusheni maiti kwa kemikali...hakuna mwenye muda na nyinyi, maana mnafanya kazi yenu, na mnajulikana na mnashiriki shughuli za kijamii kama vile kutuma hela kwa M_pesa, michango ya harusi na ibada za maombezi...lakini mkiona tumeanza kuwaua nyie, tumewavamia pale Masaki, tumeiteka TBC...mjue kuwa mlivuka kiwango na kuamsha hasira zetu.

Bunduki kitu gani bwana...kila mtu akiamua anaweza kuimiliki. Wakurugenzi wa makampuni Dar wanalijua hili.

Yaani Magufuli tukimwita Dikteta mie naona tunampa sifa za bure tu...huyu hana huo ubavu, sio kwa Tanzania hii, sio kwa Tanzania ya Nyerere aisee...hii Nchi inalindwa!!! tena kwa satellite za USA, Urusi na ulimwengu usioonekana...ACHENI UJINGA.

Hakuna mpumbavu anayeweza kuiyumbisha Tanzania to a National Scale, kwaito zao zitaishia kwenye Media na kwa watu binafsi walio na maslahi yao. Mfano ni Media kukataa kumpromote Bashite lakini leo hii kawazidi akili, pia njaa imewalemea, imebidi wao ndio wamfuate.

Kwa sasa kila mtu anapigania tumbo lake tu...sio Diamond, Tale, Majizzo au Harmo Rapa. POLITICAL ACTIVIST WA KITANZANIA KWASASA NI WAWILI TU: Mange Kimambi na Ben Saanane aliyepotea...siku ukipotea utajua kwanini.

Mange anaripoti kituo cha polisi kila siku pale USA kwaajili yetu watanzania...Hakuna mapinduzi ya Nchi yaliyoletwa huku ukiwa unaishi hapo hapo nchini! ukibisha kamuulize Kagame, Museveni na wengineo. Ndio maan Ben kapotea...it"s that simple.

Roma, kwani ungeniomba hiyo Milioni 14 hata mimi kuepuka usumbufu uliowasababishia WatanzaBia nisingekupa? umejua wananchi tumeingia hasara kiasi gani kwa faida zako binafsi ili hali unajua wewe sio wewe tena bali ni kioo cha jamii/brand? Kwanini umechangia kuongeza chuki kwa RC wa Dar es salaam?? (ninaposema RC ninazungumzia kiti, sio mtu a.k.a. Paul Makonda....kwasasa nikija Dar huwa naiona haina aliyeketi hapo na kuna umuhimu wa hio zabuni kutangazwa).

[HASHTAG]#ImOut[/HASHTAG]
 
Mwanasheria wake anasema Roma hayupo vzr kiafya. Wakati anashuka kwenye gari ni dhahiri kabisa roma anaonekana anachechemea. Ukija kwenye maelezo yake Roma anasema yupo vizuri kabisa.
Yule jamaa amepigwa sana aisee alikuwa na maumivu makali kwa kumtizama.ni mbaya sana.yote yana mwisho haya.
 
Hata kama kuna "makubaliano", inabidi wajirekodi Leo Leo na kuhifadhi clips za video kwa kumbukumbu zao wenyewe kina Roma na wenzie maana jumatatu ni mbali sana lolote likitokea itabaki "uvumi" wa kukanushwa vikali na "watekaji"
 

Nikiendelea kuyasikiliza ya Ben Saaane mara sijui yaliyowatokea akina Makonda, Clouds Media Group na akina SHILAWADU, Nape, Ney na sasa hivi huyu Roma Mkatoliki naona kama ' uchizi ' unanipigia hodi kwani nachanganyikiwa tu hivyo ngoja nikakojoe zangu nikalale shenzy taipu.
 
Roma, kama utasoma hii. "Umetekwa, labda umepewa maelekezo maalum. Umeambiwa ni nini cha kuongea na ni nini cha kuacha. Ni imani yangu kuwa utaasi maelekezo hayo". Kama utaasi, utaacha jina lako liishi. Kama utaamua kuwafuata wakosefu, wewe utaishi na Jina lako litakufa.

All the best.
 
Hata kama kuna "makubaliano", inabidi wajirekodi Leo Leo na kuhifadhi clips za video kwa kumbukumbu zao wenyewe kina Roma na wenzie maana jumatatu ni mbali sana lolote likitokea itabaki "uvumi" wa kukanushwa vikali na "watekaji"

Nimelisema na kulionya hili mahala humu humu katika uzi wao ule wa kuachiwa huru na nashukuru kuona na Wewe pia umeweza kuligusia kwa mapana yake. Tunaweza kusubiri hiyo Jumatatu lakini Mtu ' akadondoka ' hata leo hii hii. Wawe waangalifu mno na wachukue huo ushauri wako uliowaambia Mkuu.
 
Kelele nyingi zinasaidia, kuanzia sasa akipotea mtu tuhakikishe tunapiga kelele za kufa mtu, mitandaoni na nje ya mitandao, barabarani, mitaani yaani ni kupiga kelele tu kama hatuna akili nzuri.
Nina uhakika Ben Saanane tungempigia kelele za kutosha mara alipopotea by now tungekuwa tumeshampata, lakini badala yake ziliwekwa kejeli, siasa nyiingi , malumbano na kunyoosheana vidole
 
What goes around comes around ngoja tusubiri na wao wakitekwa na kushikiwa bastola kama Nape ndio watatia akili na kujua maana ya kutekwa na kujiteka.
 
Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa, wameomba kupumzika leo na kesho kisha Jumatatu wataongea kwa kina yote yaliyowapata.

poua,ongea kwa uhuru kadiri unavyoona inafaa kwa usalama wako na wenzio, kama kuna ya sirini tuwekee tu kwenye mistari tutaelewa....ubuyu huja katika rangi, ladha na vifuko tofauti
 
Yule jamaa amepigwa sana aisee alikuwa na maumivu makali kwa kumtizama.ni mbaya sana.yote yana mwisho haya.

Sasa kama kapigwa sana na kuteswa mno huoni kama baada tu ya kutoka Mwananyamala ile kuzungumza tu na Wanahabari waliokuwepo pale ndiyo ilikuwa platform nzuri Kwake kutueleza ukweli wake wote hata kama ungemgharimu maisha yake? Kama tayari umeshateswa karibia na kuuwawa na sasa umeachwa na maumivu pamoja na majeraha kuna ubaya gani Wewe ukikubali kujitoa mhanga kwa kusema ukweli ili uwasaidie Watanzania mamilioni ili hata ukiuliwa basi huku nyuma utakuwa umetuachia kitu cha kukukumbuka Kizazi na Vizazi? Hapa ndipo ninapowapenda Waarabu na Wapalestina kwani wao uonevu na manyanyaso kama haya waliyofanyiwa akina Roma na wenzake kujitoa mhanga kwa kujilipua na kuteketeza kabisa ngome ya Makatili wao ni jambo la kawaida na hulipenda zaidi. Sasa nimeamini kuwa Africa hakuna tena ' Mashujaa '. Yaani umeteswa hadi unachechemea na unaingia katika Gari unainama katika Kiti huku ukiugulia machungu halafu unasema kuwa utaongea Jumatau? Nimemdharau mno Roma na kumbe kwa ubwege wake huu hawakukosea ' kumtesa '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…