Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Kama ungekuwa ni wewe! kukojolea waya wa umeme usiombe!Hawataongea ukweli100%
Yale macho sio ya kawaida, kama vile walikuwa wakipikia kuni.Wanaonekana hawapo sawa kabisa...
Yule jamaa amepigwa sana aisee alikuwa na maumivu makali kwa kumtizama.ni mbaya sana.yote yana mwisho haya.Mwanasheria wake anasema Roma hayupo vzr kiafya. Wakati anashuka kwenye gari ni dhahiri kabisa roma anaonekana anachechemea. Ukija kwenye maelezo yake Roma anasema yupo vizuri kabisa.
Vijana wa idara ya Usalama wana akili kubwa, hasa wale waliokosa ajira kwenye mchujo wa Interview CIA, MUSSAD, TISS (Tanzania), n.k.
Kuna watu wanaishi kwa kusumbua na kuhangaisha industries na brand za watu. Wengi wao huwa ni wanasiasa hasa pale wanapotaka kuwa na status kama za wananchi wao...meaning, kiongozi anaweza kuwa hata ni fukara asiye na elimu, lakini ana kipaji cha uongozi, anaowaongoza wengine ni matajiri kumzidi, so tatizo huja pale anapotaka kuwa tajiri kama wao...HII NDIO SABABU HAKUNA MWANASIASA TAJIRI AMEWAHI KUWA LISTED KWENYE FORBES, AU ORODHA YA MATAJIRI DUNIANI.
Professa J, Babu Tale, Roma na uongozi wako, Diamond Plutnumz, RC Makonda, Nape na Baraza la Waandishi wa Habari Tanzania; acheni kusumbua watu, tuacheni tufanye kazi.
Mnachokifanya sio kipya, kila Ikulu, kila ofisi ya Mkoa katika kila nchi hizo ndio shughuli zake. Kinachonishangaza iweje watu wazima kama nyinyi mnaojinadi wazalendo ndio muwe wa kwanza kununuliwa?? What is money to you guys? Coz kama ni hela mnayo, shida ni nini, majina?? Mbona mkuu wa mkoa kachafua majina ya watu lakini ndo kwaaaanza wanapiga kazi?
Anyway, ila kwa sasa, kitengo cha TISS kina sifa mbaya kimataifa ya kukosa weledi na kuheshimu taaluma ya usalama na kinalijua hilo. Mfano hai ni Wapelelezi 19 kukamatwa Malawi.....19 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
Niweke bayana kuwa Dar es Salaam ndio Tanzania, na mikoani ndio kuna Wakuu wa mikoa...Mkuu wa mkoa Dar es Salaam (capital city) ni mlinzi wa mali za Rais wa nchi. Hivi ndivyo ilivyo hata Ulaya.
Tatizo RC wa sasa ni limbukeni wa mafanikio na utajiri. Naomba mjifunze kwa kinachomtokea Zuma kule South Africa sasahivi...kama kuna Rais ambae kawekwa kitimoto na amekalia ncha ya mkuki ni Jacob Zuma...kwahiyo kwa Magufuli tutasubiri sana...
Tekeni, teseni, uweni, yayusheni maiti kwa kemikali...hakuna mwenye muda na nyinyi, maana mnafanya kazi yenu, na mnajulikana na mnashiriki shughuli za kijamii kama vile kutuma hela kwa M_pesa, michango ya harusi na ibada za maombezi...lakini mkiona tumeanza kuwaua nyie, tumewavamia pale Masaki, tumeiteka TBC...mjue kuwa mlivuka kiwango na kuamsha hasira zetu.
Bunduki kitu gani bwana...kila mtu akiamua anaweza kuimiliki. Wakurugenzi wa makampuni Dar wanalijua hili.
Yaani Magufuli tukimwita Dikteta mie naona tunampa sifa za bure tu...huyu hana huo ubavu, sio kwa Tanzania hii, sio kwa Tanzania ya Nyerere aisee...hii Nchi inalindwa!!! tena kwa satellite za USA, Urusi na ulimwengu usioonekana...ACHENI UJINGA.
Hakuna mpumbavu anayeweza kuiyumbisha Tanzania to a National Scale, kwaito zao zitaishia kwenye Media na kwa watu binafsi walio na maslahi yao. Mfano ni Media kukataa kumpromote Bashite lakini leo hii kawazidi akili, pia njaa imewalemea, imebidi wao ndio wamfuate.
Kwa sasa kila mtu anapigania tumbo lake tu...sio Diamond, Tale, Majizzo au Harmo Rapa. POLITICAL ACTIVIST WA KITANZANIA KWASASA NI WAWILI TU: Mange Kimambi na Ben Saanane aliyepotea...siku ukipotea utajua kwanini.
Mange anaripoti kituo cha polisi kila siku pale USA kwaajili yetu watanzania...Hakuna mapinduzi ya Nchi yaliyoletwa huku ukiwa unaishi hapo hapo nchini! ukibisha kamuulize Kagame, Museveni na wengineo. Ndio maan Ben kapotea...it"s that simple.
Roma, kwani ungeniomba hiyo Milioni 14 hata mimi kuepuka usumbufu uliowasababishia WatanzaBia nisingekupa? umejua wananchi tumeingia hasara kiasi gani kwa faida zako binafsi ili hali unajua wewe sio wewe tena bali ni kioo cha jamii/brand? Kwanini umechangia kuongeza chuki kwa RC wa Dar es salaam?? (ninaposema RC ninazungumzia kiti, sio mtu a.k.a. Paul Makonda....kwasasa nikija Dar huwa naiona haina aliyeketi hapo na kuna umuhimu wa hio zabuni kutangazwa).
[HASHTAG]#ImOut[/HASHTAG]
Hata kama kuna "makubaliano", inabidi wajirekodi Leo Leo na kuhifadhi clips za video kwa kumbukumbu zao wenyewe kina Roma na wenzie maana jumatatu ni mbali sana lolote likitokea itabaki "uvumi" wa kukanushwa vikali na "watekaji"
Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa, wameomba kupumzika leo na kesho kisha Jumatatu wataongea kwa kina yote yaliyowapata.
Yule jamaa amepigwa sana aisee alikuwa na maumivu makali kwa kumtizama.ni mbaya sana.yote yana mwisho haya.