VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

Hajanusishwa/pakwa/puliziwa kitu? Mfano: Yule mrusi aliyekuwa na "mtu Fulani" kwenye mgahawa London ali"dedishwa" na Polonium.
Kule Malaysia juzijuzi yamemtokea nduguye wa Kiongozi wa Korea Kaskazini... nk nk!!

Hajateswa? Mifano hapa ipo mingi sana, si unaona anachechemea?

Hajadungwa/chomwa kitu?
Jamaa moja ilitumika ncha ya mwavuli wa kawaida kabisa
Wanazo njia lukuki
TARATIBU MTU ANANYONG'ONYEA....
 
Wakisema ukweli,kuna tembo mkubwa nae atatikisika.
Kama kafanya usengelema kwenye hii gemu atikiswe na si kutikiswa tu adondoshwe shwaini wanajifanya wanatupenda wanakwenda kwenye nyumba za ibada pyuuuuuuu
 
Nawapa pole sanaa!! Nawashauri waongeekwa akili sanaa wasije wakavuka mipaka likawapata la kuwapata maana Tanzania si salama tena!!! Nchi ni watu wa 2 tuu
 
Inaonekana kuna kamchezo katachezwa.,Jumatatu kuna watu(unanimous) watapelekwa Mahakamani,then utaskia kesi ipo Mahakamani na si ruhusa kuzungumza chochote kilicho Mahakamani.. na story may end up there..
 
Kadiri anavyochelewa kuongea ndivyo anapojiweka kwenye Hatari zaidi
 
Mtu anatembea anachechemea lakin anasema yuko salama kabsa na hana tatzo.........nimeogopa sanaaa
 
 
Maskini ya mungu Roma anaonekana anamaumivu makali sana hata hivyo kajikaza kiume kuongea. Na dhahiri hayuko sawa tazama alivyoingia kwenyw gari eeeeeh mola twateseka wajoli wako
 
Hamna kitu hapo. Sinema yenu imegonga mwamba. Mlizoea kumchezea Mkwere. Kwa huyu Mr JPM mtajitekenya wenyewe na mtacheka wenye na maisha yanasonga mbele. Haya tekeni Miss Tz wa zamani ili ngoma inogile. Mnahangaika bure kamwe hamumchafui Rais wetu na nchi yetu. Tuko imara
 
Kufunguka J3..?? Bora wakae kimya tu tujue moja maana hapo ndo wanaweza haribu kabisa uhondo.
Mkuu roma Mkatoliki ,Piga kimya tu chari angu.

Kusema kweli ninaomba tumshuru Mungu kwa uzima wao. Haya mengine ya wao kusema, ni kupoteza muda tu. Hakuna watakachosema ikiwa wameachiwa kwa masharti. Na hili ni ziki la moja kwa moja na seirilkarim. Ingelikuwa hii serikarimu haihusiki, bila shaka leo ungemsikia kMAANADA SIRION YUKO KWENYE MDEDIA akijisifu kuwatafuta na kuwapta, hata angetuonyesha na watekaji, na jinsi asikairi makini walivyopambana nao kuwahokoa hawa ndugu.

Kwa vyotyoe rmtekaji ameshajulikana.


Hivi seririekali inataka nini kwa Watanzania?
 
Roma aliimba ule wimbo viva Roma,baadhi ya mistari
'...nikamateni si mlishindwa Tibaijuka,leta deffender... leta wajeda leta wagambo,Roma nimejitoa sadakaSi mnataka kuniua?na mkiniua mkanitupe kwenye daraja la Mkapa ...(mazafanta!)...
Bwana mdogo kapelekewa Noah na vijana wachache tu ,karudi anachechemea!Wamemfinya mpaka anashindwa kuongea lolote na ndio imetoka.Sasa ndio najua its easier said than done.

Chezeya kujitoa sadaka...Bashite anaogopa sana kutajwa tajwa kwenye nyimbo.
 
Sasa si walitekwa, ni nani kawapa masharti ya kuachiwa? Au walitekwa na Polisi?
 
Mtu anatembea anachechemea lakin anasema yuko salama kabsa na hana tatzo.........nimeogopa sanaaa
Sana Mkuu,anashindwa kutembea aisee Tanzania.


Tume huru idaiwe mapema Tanzania ccm itoke
 
Field MARSHALL IDD Amin Dada alitumia style hii kutawala Uganda
 
Pole sana roma ila wenye akili ya kufkiria kiutu uzima tunajua fika wabaya wako ni wakina nani walio tumia njia ya kuteka watu na kutesa watu ili tu wanufaike wao iwe kisiasa kimuziki na kifetha nasizani kama wamezipata izo mia tatu tatu kwenye ilo limtandao lao usikate tamaa harakati ziendelee nyie mlio pata bahati ya vipaji vya mziki tuwakilisheni vilio vyetu kupitia mziki kwa kuzingatia misingi ya haki na ukweli pasipo kuogopa.vivaa roma vivaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…