VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

Hawa wote wanatuchezea akili chafu na michezo yao pesa haijawahi shindwa chochote
 
Mimi nashauri mateka kwa haraka iwezekanavyo wafunguke kwenye mitandao ya kijamii kabla ya hiyo Jumatatu. Ukweli unaweza kuharibiwa na "kisiwa chenye amani". Fungukeni mara mpatapo fursa ya kuingia kwenye mitandao bila kuficha lolote
 
Tukumbuke ya ulimboka,mpaka leo hajasema.
Sijui kwa mkatoliki.?!
 
Kama leo wanaogopa kuongea kwa sababu ya makubaliano waliyoweka,ikifika jumatatu makubaliano yanaexpaya??
Ina maana hao walioweka makubaliano hawajui kama mtaongea jumatatu???
Ni hatari gani unayoiogopa leo ambayo jumatatu hutaiogopa tena????
Yale yale ya Dr. Ulimboka.!
Mi wakiniteka wakanitesa halafu eti badae waniachie kwa sharti la kutoongea nawakubaria halafu nikifika uraiani naongea ukweli wote hata waje waniteke tena wakaniue poa jamii itakuwa imeshaujua ukweli.!
 
Roma anaonekana sio mzima hata kidogo na amejawa na hofu. Kwa nini Jumatatu? Huku akisisitiza anataka kupumzika
 
Kama roma kakubali kulibariki liuongozi la sasa akae kimya na akubali kupokea vitisho na visenti vya hao mashoga waliochezesha hilo movie ila kama yuko na wanyonge na waliopaza sauti bora aweke ukweli ili mashoga na mabasha yaumbuke.
 
Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
Kweli hongera kwa wapelelezi waliobobea kwa kuweka makubaliano ya kuwaachia akina Roma. Ndio maana tunasema Tanzania ya vi-wonder inawezekana!
 
Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
hapo kwa mfano unasifu vp serikali na wapelelezi wa JPM?

Waulize kama niwapelelezi wazuri mbona hawatuletei mpendwa wetu saanane yuko wapi
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma akiongea baada ya kutoka hospitali ya Mwananyamala. Amesema yeye na wenzake ni wazima wa afya, kimwili na kiakili na kuwashukuru watanzania wote waliowapigania kipindi cha sintofahamu yao.

Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa, wameomba kupumzika leo na kesho kisha Jumatatu wataongea kwa kina yote yaliyowapata.

Do not come to the press conference with a manipulated story. Say it as it happened and who is behind it. I know you music is true don't come against your music Roma
 
Ingekuwa mimi jumatatu ni mbali sana ukweli wote ungekuwa nje!
 
Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
Mtengeneza tatizo ndo mtafuta solution halafu unamsifia!?!? Tz bana ngoja nieendelee kuzibua vyoo tu
 
Kuachiwa kwa makubaliano!?!?

Nani huyo kakuachia kwa makubaliano !?!?

Police hamjasikia hili!?;?
 
Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
yani we ni kicwa maji kabisa...
 
Mimi nakaa mbali na viongozi flani flani asee!! Hukawii vamiwa uliza clouds!! Kijani inageuzwa nyekundu,why??
 
Hawataongea kitu....

Ulimboka hakuongea kitu...

Mwakyembe hakuongea kitu.....

Tuendelee na maisha.
 
Back
Top Bottom