Msengi Kiula
Senior Member
- Jan 10, 2008
- 167
- 63
Hajanusishwa/pakwa/puliziwa kitu? Mfano: Yule mrusi aliyekuwa na "mtu Fulani" kwenye mgahawa London ali"dedishwa" na Polonium.Roma, kama utasoma hii. "Umetekwa, labda umepewa maelekezo maalum. Umeambiwa ni nini cha kuongea na ni nini cha kuacha. Ni imani yangu kuwa utaasi maelekezo hayo". Kama utaasi, utaacha jina lako liishi. Kama utaamua kuwafuata wakosefu, wewe utaishi na Jina lako litakufa.
All the best.
Kule Malaysia juzijuzi yamemtokea nduguye wa Kiongozi wa Korea Kaskazini... nk nk!!
Hajateswa? Mifano hapa ipo mingi sana, si unaona anachechemea?
Hajadungwa/chomwa kitu?
Jamaa moja ilitumika ncha ya mwavuli wa kawaida kabisa
Wanazo njia lukuki
TARATIBU MTU ANANYONG'ONYEA....