Mhhh!Kawaida ya bongo njia ya kutafta
Pesa n nyingi
Yale yale ya Dr. Ulimboka.!Kama leo wanaogopa kuongea kwa sababu ya makubaliano waliyoweka,ikifika jumatatu makubaliano yanaexpaya??
Ina maana hao walioweka makubaliano hawajui kama mtaongea jumatatu???
Ni hatari gani unayoiogopa leo ambayo jumatatu hutaiogopa tena????
Kweli hongera kwa wapelelezi waliobobea kwa kuweka makubaliano ya kuwaachia akina Roma. Ndio maana tunasema Tanzania ya vi-wonder inawezekana!Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
hapo kwa mfano unasifu vp serikali na wapelelezi wa JPM?Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
Do not come to the press conference with a manipulated story. Say it as it happened and who is behind it. I know you music is true don't come against your music Roma
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma akiongea baada ya kutoka hospitali ya Mwananyamala. Amesema yeye na wenzake ni wazima wa afya, kimwili na kiakili na kuwashukuru watanzania wote waliowapigania kipindi cha sintofahamu yao.
Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa, wameomba kupumzika leo na kesho kisha Jumatatu wataongea kwa kina yote yaliyowapata.
Mtengeneza tatizo ndo mtafuta solution halafu unamsifia!?!? Tz bana ngoja nieendelee kuzibua vyoo tuNamshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
yani we ni kicwa maji kabisa...Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
Kama sio mkwara basi kakabidhiwa rundo la Hera !!!Mmh! Roma atakuwa kapigwa mkwara asiseme chochote alichotendewa. Aah! Tanzania yangu.