Video: Msanii TID ajisifu kulala na Wema sepetu!

Huyu TID nae ana uchumba sugu nakumbuka alimvisha pete ya uchumba girl friend wake aliyekuwa anaitwa KINANA tena kwa mbwembwe stejini TID alikuwa ana perform gafla mziki ukasimamishwa mdada akitwa akaja kwa mbwembwe akapigiwa goti "Kinana will you marry me" na pete ikavalishwa kidoleni sasa ni miaka kuni na ushee bado ndoa, mwee kweli haoni kasoro zake.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Itakuwa ilikuwa ni drama za live show stejini by the way huyo teja aliidai pete yake ili auze akale ngada
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kiba100 katika ubora wake[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huyu shule nayo hana.. Mzazi wako kama hakukupeleka shule i see mlaani kabisa, shule muhimu sana katika maisha ya kila siku., huyu jamaa jinga kabisaa.
 
Naona mtu mmoja atakuja na taarifa za kumshughulikia mama kipenz wa t.i.d, sijuhi itamuuma au vipi
 
Back
Top Bottom