Huyu TID nae ana uchumba sugu nakumbuka alimvisha pete ya uchumba girl friend wake aliyekuwa anaitwa KINANA tena kwa mbwembwe stejini TID alikuwa ana perform gafla mziki ukasimamishwa mdada akitwa akaja kwa mbwembwe akapigiwa goti "Kinana will you marry me" na pete ikavalishwa kidoleni sasa ni miaka kuni na ushee bado ndoa, mwee kweli haoni kasoro zake.