jikite kwenye mada kwanzaHivi Wakenya; Urusi waliwafanya nini?
Ukijikita inatosha mkuu.jikite kwenye mada kwanza
wenywe Ukraine hawafi??? cjawahi kuona wakitangaza hata mjeshi mmoja kwamba wako makini Sana? au wao vyumaHaijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
Tangaza wewewenywe Ukraine hawafi??? cjawahi kuona wakitangaza hata mjeshi mmoja kwamba wako makini Sana? au wao vyuma
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Waliambiwa wana shake churaHivi Wakenya; Urusi waliwafanya nini?
RT huwa wanatangaza vifo vya wanajeshi wa ukrainewenywe Ukraine hawafi??? cjawahi kuona wakitangaza hata mjeshi mmoja kwamba wako makini Sana? au wao vyuma
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Chanzo cha habari umekisoma??Hivi Wakenya; Urusi waliwafanya nini?
Huko vitani wanakufa makamanda wa 🇷🇺 tu wa Ukraine 🇺🇦 hawafi?Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
Makamanda wa Urusi wanakufa, lakini anae ongoza kwa kulia lia na kuomba msaada ni Rais wa Ukraine, sasa kama mnaua makamanda na mna uhakika wa kushinda mnalia lia nini dunia ipinge vita? kuna vitu vinachekesha sanaHaijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
Acha kabisa hizi propaganda za chekecheaHuko vitani wanakufa makamanda wa 🇷🇺 tu wa Ukraine 🇺🇦 hawafi?
Katangaze wewe maana hujazuiwawenywe Ukraine hawafi??? cjawahi kuona wakitangaza hata mjeshi mmoja kwamba wako makini Sana? au wao vyuma
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
Yukreini tuseme hawafi? Mbona hamutuonyeshi misiba yao na kila siku wanapigika?Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
jikite kwenye mada kwanza