Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

Makamanda wa Urusi wanakufa, lakini anae ongoza kwa kulia lia na kuomba msaada ni Rais wa Ukraine, sasa kama mnaua makamanda na mna uhakika wa kushinda mnalia lia nini dunia ipinge vita? kuna vitu vinachekesha sana

Ukraine hawapo kiushindani, wao wanapambana kujilinda na kupangua mashambulizi, mvamizi amengia kwenye nchi yao, anaua watoto, akina mama na raia wote kwa kuwapiga mabomu, na kuharibu majengo, Ukraine ana kila sababu za kulia.
Nikiwa mdogo ilikua nikishambuliwa na kijana mkubwa zaidi yangu, nilikua najibu mashambulizi huku nikiangua kilio, nampa za uso, namg'ata, nampopoa kwa mawe...yaani natumia kila nilicho nacho mpaka alowe damu, sema tukipelekwa mbele za walimu, mashahidi wote wanakua upande wangu maana nilichokozwa na muda wote nilikua nalia kumwomba jamaa aache ugomvi.
 
Hivi vitani kifo ni Optional ?

Kwanza Wakifa wakubwa ndio inaonekana wapo mstari wa mbele na sio kutuma chambo...., Pili unadhani vita vya kupigana kwenye makazi ya watu ni rahisi (muulize America kule Vietnam)...,

Au unataka mtu atumie mabomu na kusambaza kila kitu ?, Nadhani ni ulimbukeni kushangilia vita kama vile ni kwenye Playstation Game
 
Putini kwisha habari yake jana karudishwa nyuma na kufurushwa West Ukraine 100kilometers, nadhani kile kibonyezo chake cha nuclear anakiweka tayari ground war ameshindwa mbaya sana, Ukrane baada ya ku-defend sasa wanashambulia wao na wapo kwenye maeneo ya 18

Hawezi kuthubutu kubonyeza nyuklia maana anajua ndio itakua kiama chacke na Urusi...hata makamanda wa Urusi hawawezi kukubali hilo, watamla shaba fasta tu, kwanza jeshi la Urusi humo ni mafisadi kupita maelezo, wanapenda maisha ya bata sana wale, sasa uwaambie wafyatue nyuklia huku wakijua majibu yake yataifuta Urusi kwenye ramani na kuwaondolea utamu wa maisha.
Putin kwenye huu ugomvi amefika mwisho, Ukraine walibadilisha mikakati, walianza kupiga mabomu magari yote ya supplies na mafuta na kuhakikisha hamna supplies mpya zitakazokuja, jeshi la Urusi limekwama ndani ya nchi ya watu, tayari wanapora chakula.
 
Hivi vitani kifo ni Optional ?

Kwanza Wakifa wakubwa ndio inaonekana wapo mstari wa mbele na sio kutuma chambo...., Pili unadhani vita vya kupigana kwenye makazi ya watu ni rahisi (muulize America kule Vietnam)...,

Au unataka mtu atumie mabomu na kusambaza kila kitu ?, Nadhani ni ulimbukeni kushangilia vita kama vile ni kwenye Playstation Game

Makamanda kufa kilaini hivi ni udhaifu mkubwa sana na inapunguza morale jeshini, tangu enzi na enzi siku zote viongozi hulindwa kuhakiksha wanaendelea kuelekeza elekeza mashambulizi. Hata snipers huwa wamepewa maagizo wawawinde viongozi kwenye misafara, na mara nyingi viongozi wakiwa frontline huvalia zare za kawaida ili isiwe rahisi kuwatambua.

Kinachomkuta Urusi ndicho kilisababisha Marekani atoke nduki Vietnam, hauwezi ukawakuta watu kwenye mitaa yao kisha uwaue mama zao baba zao na watoto wao halafu ubaki salama, mtawindana humo kwenye mitaro, vijiweni, kona zote, mashambani, milimani...n.k
 
Mpaka sasa Rais wa Ukraine ameshahutubia mabunge 10, jana alikuwa anawalilia Japan, alipotoka akaanza kulilia dunia kuwa leo tuandamane dunia nzima, sasa unashangaa mbona kila siku analia lia yeye tu kama mambo yake ni mazuri?

Hakuna sehemu amesema mambo yake mazuri, yule kiongozi anafanya vyema sana, amefaulu kusababisha Urusi ichukiwe kote dhuluma wanazofanya kwa raia wa Ukraine, hata waarabu wenye dini yao kwenye hili wameufyata maana imekua visivyo.
Masheikh wabongo tu ndio wamebaki kushobokea Putin.
 
Makamanda kufa kilaini hivi ni udhaifu mkubwa sana na inapunguza morale jeshini, tangu enzi na enzi siku zote viongozi hulindwa kuhakiksha wanaendelea kuelekeza elekeza mashambulizi. Hata snipers huwa wamepewa maagizo wawawinde viongozi kwenye misafara, na mara nyingi viongozi wakiwa frontline huvalia zare za kawaida ili isiwe rahisi kuwatambua.
Kwahio Mrusi hajui hayo na amepeleka mbele makamanda wake ?
Kinachomkuta Urusi ndicho kilisababisha Marekani atoke nduki Vietnam, hauwezi ukawakuta watu kwenye mitaa yao kisha uwaue mama zao baba zao na watoto wao halafu ubaki salama, mtawindana humo kwenye mitaro, vijiweni, kona zote, mashambani, milimani...n.k

Naam vita vya kwenye raia ni vigumu na sio Vietnam tu, hata Somalia au Palestina unaweza ukakuta watoto wanacheza ila kumbe wana SMG ndani ya Kanzu mkipita tu mnaondolewa..., Na sio kwamba mnashindwa kusambaza mji mzima kwa mabomu hususan karne hii ya Propaganda utaambiwa unauwa raia (War...., now more than ever has to be won outside the fighting grounds)...

Pili unavyoongelea raia umewaingilia Je watu wa Donbas na Crimea nao tunasemaje ?, Au wao ni Waasi ?, Na je NATO na threat ya Expansion unadhani Mrusi haogopi kwamba karne chache from Now yatamkuta ya Gadaffi

My View in this kuanzia NATO, USA na RUSSIA wote ni walewale to ma-bully in different degrees (and has the world we need balance of power) Kwahio mwisho wa siku inabidi sisi tusio na hizo Nuclear na Weapons of Mass Destruction tuwabane wote walionazo wasiteketeze na hakuna mtu kwenda on that road anymore...., United Nations yenye One Country One Vote ipate Meno ili tuki-vote na kuona fulani amekengeuka twende tukampige na kumcharaza kwa mishale, Majambia au hata Risasi (na sio Biological Weapons) wala hatatutisha kutumia arsenal yake kwamba tukimuwajibisha.
 
Urusi hakutegemea kinachompata kwa sasa, alidhani itakua special operation na rais wa Ukraine ataikimbia nchi, ndio maana inamgharimu hadi wameuawa majenerali kitu ambacho sio kawaida, kwanza kumfikia jenerali inabidi uwaue wanajeshi wengi sana.

Sasa hivi Putin amekwama na kuwa frustrated kiasi cha kuanza kupiga mabomu ya masafa marefu na kufanya mauaji ya kmbari huku msheikh na maustadh wa bongo mkimshabikia, mumeshindwa kujizuia ikiwa hata wenye dini yao waarabu wamepiga kimya maana wanashuhudia dhuluma pale.
 
Kwahio inteligensia yako ni Kubwa kuliko Putin ?
Yaani alijua kwamba NATO / USA haitampa Back-Up Ukraine ?
Na unadhani angekaa kimya Crimea na Donbas zingekuwaje ?
Pili lazima ujue siku zinavyozidi kwenda the future itabadilika; na hizo Sanctions being a double edged sword mwisho wa siku matatizo yatarudi hata nyumbani kwa hao wanaopiga kelele na propaganda wakiwa mbali (Chicken Coming Home to Roost as Malcolm X, once said)

Tatu huenda kukawa na de-dollarization kwa haraka zaidi....

Nne pindi wakikaa mezani tena kuona nini kinakuwa nini lazima terms and conditions zitakuwa za kueleweka zaidi...

That I do not know, since there is very little difference between news and propaganda these days...., According to Putin watu wa Donbass na Crimea walikuwa wanauliwa na kuteswa na Ukraine kwa kisingizio kwamba ni Waasi kwahio he is doing right by his people....

According to I as mdau wa dunia Wote fro Russia To USA and NATO in between wote ni walewale tu..., and its dangerous to have a single superpower considering such power might fall in the hands of someone like TRUMP..., its about time we start seeing all of these nations as they are..., Power Mongering Greedy People who are always marginalizing the Weak for their Own Benefits
 
Intelljensia yake ilimdanganya na ndio maana aliishia kumfuta kazi kiongozi wa FSB na wakuu wengine, hawakumpa ukweli na ugumu wa operesheni ya Ukraine, alitegemea wanajeshi wake watalakiwa na wananchi kama ilivyokua kwa Marekani kule Iraq, ila imeshindikana, wanajeshi wake wameuawa wengi hadi frustrations zimesababisha aanze kufanya mauaji ya kimbari, amejikuta anaomba msaada Syria.

Na Ukraine wamejikaza mpaka kibao kimeanza kubadilika......

Kwa sasa Putin amepoteza both tactically and strategically, hatakiwi kote....
 
Na hizi habari unazipata kwa nani from the Horses Mouth (Putin) au a Neutral News Network au Through Propaganda Machine ?

I know Vita sio lelemama na kila siku nasema No One Wins a War but Loses at Different Degrees...., But I know the Biggest and Most Powerful Weapon Putin wanayompiga nayo ni Propaganda..., Kumbuka ndio wale waliomsingizia Saddam Weapons of Mass Destruction ili waweze kumuangamiza.... (he was not an Angel I do Agree but neither were the people who did the deed)...
 
Mpaka sasa Rais wa Ukraine ameshahutubia mabunge 10, jana alikuwa anawalilia Japan, alipotoka akaanza kulilia dunia kuwa leo tuandamane dunia nzima, sasa unashangaa mbona kila siku analia lia yeye tu kama mambo yake ni mazuri?
Ajabu
 
Na hizi habari unazipata kwa nani from the Horses Mouth (Putin) au a Neutral News Network au Through Propaganda Machine ?

I know Vita sio lelemama na kila siku nasema No One Wins a War but Loses at Different Degrees...., But I know the Biggest and Most Powerful Weapon Putin wanayompiga nayo ni Propaganda..., Kumbuka ndio wale waliomsingizia Saddam Weapons of Mass Destruction ili waweze kumuangamiza.... (he was not an Angel I do Agree but neither were the people who did the deed)...

Huyo Putin unayemsujudu wewe unapata wapi taarifa zake, mwanzo alisema hatofanya uvamizi, hii itakua special operation, kisha akasema anakwenda kuwaondoa NAZI kwenye uongozi wa Ukraine, licha ya kiongozi wa Ukraine kuwa Myahudi, huyo Putin wako kiama chake ndicho hiki, alishajiingiza kwenye kumi na nane, uchumi wake unavurugika mbaya mno, wanajeshi wake wameishia kupora vyakula na kuua raia.
 
... kazi nzuri wananchi na jeshi la Ukraine japo ni ofisa wa rank ya chini - captain. Waueni popote waonekanapo kwenye viunga vya mitaa; mwageni damu zao kwa ujazo mwingi; pangeni maiti zao safu safu ni thawabu kuilinda nchi yenu dhidi ya mafashisti!
Wakati wa vita vya pili vya dunia Urusi ilipoteza Askari na raia wapatao milioni 20...Russia Kama ilivyo Israel makamanda wake huwa mstari wa mbele...
 
Huyo Putin unayemsujudu wewe unapata wapi taarifa zake, mwanzo alisema hatofanya uvamizi, hii itakua special operation, kisha akasema anakwenda kuwaondoa NAZI kwenye uongozi wa Ukraine, licha ya kiongozi wa Ukraine kuwa Myahudi, huyo Putin wako kiama chake ndicho hiki, alishajiingiza kwenye kumi na nane, uchumi wake unavurugika mbaya mno, wanajeshi wake wameishia kupora vyakula na kuua raia.
Uchumi wa dunia ndio unaovurugika na siyo wa Russia peke yake....mwisho wa US dollar kuwa ndiyo world currency ndio umekaribia....mgogoro huu athari zake ni balaa ...mwishoni mwa Vita kutakuwa na a new world order...The American global supremacy is at the end of the road...kwa hiyo mjadala kwa West ndio huo...the creation of a new world order ..unipolar is increasingly disappearing...
 
Tulipe gharama ila hairuhusiwi Hitler mwingine dunia hii, never again.
 
Huyo Putin unayemsujudu wewe unapata wapi taarifa zake,
Nani kasema nipo upande wa PUTIN ? Sina upande, pia najua mambo sio black and white there is a lot of grey areas..., kuna watu Russia wanaona Gorbachev aliwauza na kupoteza Superpower yao..., hence even if Putin akienda Six Feet under huwezi kujua kesho au keshokutwa atakuja nani..., Au kama TRUMP akishinda America hatakuwa mbaya zaidi ya Putin...

Hence sina upande ila am not shortsighted kwa kutokuona hatari ya kuwa na a single country as superpower

mwanzo alisema hatofanya uvamizi, hii itakua special operation, kisha akasema anakwenda kuwaondoa NAZI kwenye uongozi wa Ukraine, licha ya kiongozi wa Ukraine kuwa Myahudi,
NAZI wewe unaelewa ni nini ? Pili kwamba mtu akisema hivi au vile hawezi kubadilika / kubadilisha kama circumstances zinabadilika unadhani kwanini isiwe mtu ?

Huyo Putin wako kiama chake ndicho hiki, alishajiingiza kwenye kumi na nane, uchumi wake unavurugika mbaya mno, wanajeshi wake wameishia kupora vyakula na kuua raia.
Kwahio uchumi ni wa PUTIN na sio Russia..., pia kumbuka maisha ya Mrusi wa kawaida ni masikini wala mabadiliko ya sanctions hapa au pale hayatabadilisha bei yake ya VODKA wanaobanwa ni wale ma Oligarchy..., Pili sanctions is a double edged sword huenda baada ya kutoka kwenye hii mikikimikiki de-dollarisation ikawa a reality na sio an idea in Russia's and China's Mind....

There is no winner here the world has continued to be a dangerous place thanks to NATO, Putin and America naming just a few...., An me as an African I don't see any angels apart from innocent civilians who are pawns in some greedy people's chessboard.., AND I, won't be a Cheerleader of that Game...
 
Wakati wa vita vya pili vya dunia Urusi ilipoteza Askari na raia wapatao milioni 20...Russia Kama ilivyo Israel makamanda wake huwa mstari wa mbele...
... kamanda mkuu, Putin, angetangulia mstari wa mbele ingekuwa safi sana! Badala yake saa hizi yumo ndani ya cage yenye ulinzi mkali balaa huku akiwatanguliza wenzie mstari wa mbele. Atangulie tuone ubabe wake unaosifiwa humu na "wafuasi" kila kukicha.
 
Tulipe gharama ila hairuhusiwi Hitler mwingine dunia hii, never again.
Huwezi kumlinganisha Putin na Hitler...Hata Western leaders pamoja na kumchukia Putin hawajadiriki kumlinganisha na Hitler...Baadhi wameishia kumtaja kwa kuropoka kuwa ni war criminal...Tangu aseme hivyo Biden Hata. kumtaja Putin kwa jina anashindwa...anaishia kusema tu 'he'...na yule mwanamke wa Uingereza ambaye ni waziri wa nje naye aliropoka Jambo kuhusu Russia na kumfanya Putin aviambie vikosi vyake vya nuclear vikae tayari kwa Vita...Tangu wakati huo yule mwanamke hajazungumza Tena kuhusu Russia...
 
Back
Top Bottom