Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

Na hizi habari unazipata kwa nani from the Horses Mouth (Putin) au a Neutral News Network au Through Propaganda Machine ?

I know Vita sio lelemama na kila siku nasema No One Wins a War but Loses at Different Degrees...., But I know the Biggest and Most Powerful Weapon Putin wanayompiga nayo ni Propaganda..., Kumbuka ndio wale waliomsingizia Saddam Weapons of Mass Destruction ili waweze kumuangamiza.... (he was not an Angel I do Agree but neither were the people who did the deed)...
Mkuu propaganda ziko on both sides,ukiangalia RT ndiyo utaelewa,nachokubaliana na wewe ni kuwa Putin kazidiwa zaidi kwakuwa media zake zilitegemea zaidi Digital satellite Television za hao hao makuburu kuwafikia watu wengi zaidi Duniani,mfano kwa Africa,kitendo cha kuondolewa RT kwenye DSTV ni pigo kubwa kwa Russia upande wa propaganda zake kuwafikia wengi upande wa Africa huku akina CNN,Sky News,ljazeera na wengine wakijitawala kadri wapendavyo.
 
Uchumi wa dunia ndio unaovurugika na siyo wa Russia peke yake....mwisho wa US dollar kuwa ndiyo world currency ndio umekaribia....mgogoro huu athari zake ni balaa ...mwishoni mwa Vita kutakuwa na a new world order...The American global supremacy is at the end of the road...kwa hiyo mjadala kwa West ndio huo...the creation of a new world order ..unipolar is increasingly disappearing...
Hii ni ndoto Mkuu,kwamba hiyo "special operation" kama pro Russia mnavyoiita ndiyo ije kuleta new World Order 😀
 
Kwa sasa hivi huyo Hitler wa Urusi anaogopwa maana tayari keshatupia mikwara kwamba hakawii kubonyeza manyuklia, ujue vita vya nyuklia hata asilimia 5% vitakua na atahri kubwa sana, ndio maana bado anatafutiwa angle pamoja na kwamba anaendelea na mauaji ya kimbari.
Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa Putin na Russia yake wamejiandaa kwa karubu miaka 20 kupambana na Marekani na nchi za magharibi...Kila angle wamejipanga iwe kwa sanctions na hata silaha....sehemu kubwa ya Askari wa Russia walioko Ukraine ni conscripts...kwa Tanzania tunawaita national service au JKT...amefanya hivyo makusudi...jeshi lake kwa maana ya professional soldiers anaisubiri NATO Kama wataleta za kuleta...ukweli ni kuwa kwenye Vita vya nyuklia hakutakuwa na mshindi ...wote watakufa tukiwemo sisi humu wa JF na ushabiki...Russia and USA Kila mmoja Ana silaha za nyuklia zinazoweza kuiangamiza dunia hi ten times...wote tutakuwa ashes..NATO wanajua hivyo na Russia inajua...but Russia inasema it has nothing cha kupoteza...Wa magharibi wana hofu kubwa na hali hii..
 
Tulipe gharama ila hairuhusiwi Hitler mwingine dunia hii, never again.
It will never ever happen,Dunia ya sasa hakuna mtu ataruhusu hiyo kutokea,ndiyo maana wamemkalia kooni Putin,kama ulivyosema huko juu,hakutegemea kabisa outcome ya hii 'special operation 😉" iwe hivi,alidhani vile alijivinjari Crimea na hakuna aliyehangaika nae ingekuwa hivyo hivyo na kwa Ukraine,kinachomkuta kwa sasa ni total blow pale Kremlin.
 
... kamanda mkuu, Putin, angetangulia mstari wa mbele ingekuwa safi sana! Badala yake saa hizi yumo ndani ya cage yenye ulinzi mkali balaa huku akiwatanguliza wenzie mstari wa mbele. Atangulie tuone ubabe wake unaosifiwa humu na "wafuasi" kila kukicha.
Huyo ni muoga sana,huoni hata kwa vikao anakaa mita 30 mbali na wasaidizi wake wa karibu kabisa,itakuwa leo umwambie aende vitani mwenyewe.Mwamba ni Zelensikky yupo kikazi zaidi mambo ya suti ameshatupa kule 😀
 
Hakuna cha Superpower tena kama tulivyokuwa tunaaminishwa na propaganda za kikomunist,kwa tunachokishuhudia kwa sasa huko Ukraine ni Chui wa makaratasi.
Chui vip wakati NATO ina nchi zaidi ya 25 lakini wanaogopa kufunga anga, wanasema wanaogopa mapigano ya moja kwa moja na Urusi, halafu wewe huku mbagala unasema hakuna super power ahahahha, Libya walifunga anga mapema tu lakin kwa Urusi wanajua nini kitatokea wakithubutu
 
Na pia Zelensikky ni mwanaume kweli kweli,mwanaume unapaswa kulinda mji wako kwa gharama yoyote ile,siyo kisa jirani anakuzidi kila kitu anakuja kwako akuletee madharau na wewe umkalie kimya.
Gharama sio kulia lia kila siku mpaka sasa amesha hutubia mabunge 10 lakini wapi, jana anasema dunia watu waandamane kupinga Urusi huku ni kuchanganyikiwa, kila linalo mjia anaropoka akiona nchi inakuwa magofu
 
Tunajua mlivyokuwa frustrated na hii vita mkiongozwa na Babu yenu Putin.Rashidi Matumla mpaka sasa yuko ulingoni round ya saba akipambana na Mike Tyson
Tunapambana na Ukraine, NATO na US , si unaona vikao aviishi kila siku ni Ukraine, cha ajabu wanamlazimisha mpaka China huu ni uoga mkubwa sana
 
Mbona bado mnambwela mbwela mpaka sasa. Superpower amegeuka kuwa chui wa makaratasi.
Leo NATO walikuwa na kikao, nakwambia mpaka vita ikiisha yule comedian atakuwa kahutubia mpaka bunge la Burundi na wale NATO watakuwa wamekaa vikao 1000, wewe unafikiri Urusi ni Libya au Iraq tutaelewana tu
 
Mambo yake sio mazuri maana anapigika kweli.
Ila anajitahidi na yeye kujibu mashambulizi yanayopeleka kilio kikubwa kwa adui.
Kitu ambacho wataalamu wabobezi wa mambo ya kivita hawakujua.
Watu walidhani the so called military operation ingeisha ndani ya masaa 72
Shehena za silaha kutoka West zinakuja kila siku, kwahiyo nazo lazima zipigwe, operation inaendelea ila yule comedy apunguze kulia lia
 
Huyo ni muoga sana,huoni hata kwa vikao anakaa mita 30 mbali na wasaidizi wake wa karibu kabisa,itakuwa leo umwambie aende vitani mwenyewe.Mwamba ni Zelensikky yupo kikazi zaidi mambo ya suti ameshatupa kule 😀
Juzi alikuwa anahutubia watu zaidi ya elfu 50, kwenye uwanja moscow wakiadhimisha miaka kadhaa ya kuichukua Crimea sasa unasema kajificha wapi tena? alikuwa hadharani kwenye halaiki ya watu, Putin sio mtu wa kuyumbishwa
 
Chui vip wakati NATO ina nchi zaidi ya 25 lakini wanaogopa kufunga anga, wanasema wanaogopa mapigano ya moja kwa moja na Urusi, halafu wewe huku mbagala unasema hakuna super power ahahahha, Libya walifunga anga mapema tu lakin kwa Urusi wanajua nini kitatokea wakithubutu
Sasas wewe uliyeko Manzese kwa mfuga mbwa ndiyo unasema NATO wanamuogopa,yes ni Chui wa makaratasi tena yule wa kuchorwa na mtoto wa Lower Kindergaten Class🙂
 
Gharama sio kulia lia kila siku mpaka sasa amesha hutubia mabunge 10 lakini wapi, jana anasema dunia watu waandamane kupinga Urusi huku ni kuchanganyikiwa, kila linalo mjia anaropoka akiona nchi inakuwa magofu
Tunajua jinsi mlivyo panic Pro Russia,hamkutegemea operation ya masaa 72 igeuke kuwa hivi ilivyo.Usije na blaha blah zenu za kuniuliza US alitumia siku ngapi Irak hapa maana ndiyo kichaka chenu mkikumbushwa "special operation ya masaa 72"😀
 
Tunapambana na Ukraine, NATO na US , si unaona vikao aviishi kila siku ni Ukraine, cha ajabu wanamlazimisha mpaka China huu ni uoga mkubwa sana
Teh teh teh,'Special operation ya masaa 72" 🙂
 
Leo NATO walikuwa na kikao, nakwambia mpaka vita ikiisha yule comedian atakuwa kahutubia mpaka bunge la Burundi na wale NATO watakuwa wamekaa vikao 1000, wewe unafikiri Urusi ni Libya au Iraq tutaelewana tu
Wakati Putin anatumia maguvu bila akili,wenzie wanampiga kisayansi,wanabonyeza tu kitufe cha sanctions,mtu analia kama paka aliyebanwa mlangoni.Kina Biden wanamaliza vikao wanapop champagne na maisha kwenye mataifa yao yanaendelea kama kawaida huku Mwamba Zelensikky akipatiwa kila kitu anachokitaka.Hebu nikuulize,vile vikwazo Russia alivyowawekea kina Biden vina madhara gani kwao? 🙂
 
Juzi alikuwa anahutubia watu zaidi ya elfu 50, kwenye uwanja moscow wakiadhimisha miaka kadhaa ya kuichukua Crimea sasa unasema kajificha wapi tena? alikuwa hadharani kwenye halaiki ya watu, Putin sio mtu wa kuyumbishwa
Sasa hao si wamesombwa kutoka Crimea,sherehe za Crimea ahutubie Moscow,alishindwa nini kwend huko huko Crimea kuwahutubia kama sio uoga wake na ndiyo maana nasisitiza ni Chui wa kuchorwa kwenye makaratasi tu🙂
 
Wakati Putin anatumia maguvu bila akili,wenzie wanampiga kisayansi,wanabonyeza tu kitufe cha sanctions,mtu analia kama paka aliyebanwa mlangoni.Kina Biden wanamaliza vikao wanapop champagne na maisha kwenye mataifa yao yanaendelea kama kawaida huku Mwamba Zelensikky akipatiwa kila kitu anachokitaka.Hebu nikuulize,vile vikwazo Russia alivyowawekea kina Biden vina madhara gani kwao? 🙂
Sanctions wanapigwa warusia wanaumia nchi za ulaya
 
Back
Top Bottom