Video: Msikilize Sheikh Saleh Zagar

Video: Msikilize Sheikh Saleh Zagar

Haya mambo tumeyaeleza zaidi ya mara moja hapa jukwaani kuwa hayana asili katika uislamu ni watu wamejianzishia taratibu zao za kukera watu, kilichopasa ni kutoa adhana pekee mambo ya kitanda chako ndio kaburi lako na mengine hayana asili katika dini na tumeongea sana nadhani kuna uzi ulianzishwa na Nyafwili kuna comments nyingi mle.
 
Mchungaji hananja anasema kuhusu wanaobweka kuanzia ijumaa usiku mpaka alfjiri hatulali?
 
Malaria 2
Kosugi
adriz

Kupiga adhan ya kelele alfajir ni bidaa. Tuwaelimishe waadhin wetu wa mtaani waacha hiyo kitu. Hasa wale maeneo ya Tandika, Mbagala, Temeke, Buza Tandale na Buguruni.

Maeneo ya Masaki, O'bay, Mikocheni, Ada Estate, na Upanga hili tatizo halipo
Adhana sio bidia usimuelewe vibaya ,bidia ni yale maneno baada ya adhana......
 
Sasa hawa MBWA wanaobweka kilasiku asubuhi wametoa wapi utamaduni huu?
Waambieni hao MBWA waache kutubwekea asubuhi
 
Haya mambo tumeyaeleza zaidi ya mara moja hapa jukwaani kuwa hayana asili katika uislamu ni watu wamejianzishia taratibu zao za kukera watu, kilichopasa ni kutoa adhana pekee mambo ya kitanda chako ndio kaburi lako na mengine hayana asili katika dini na tumeongea sana nadhani kuna uzi ulianzishwa na Nyafwili kuna comments nyingi mle.
Wanajua kutishia sana..ukiambiwa kitanda ni kaburi unakurupuka kitandani
 
Back
Top Bottom