Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Asalaam aleykum, hikma ya suala hili inaangukia katika kuhimizana katika kwenda kumswalia Allah, na si vinginevyo, dunia inabadilika, wanadamu wanakuwa wakahidi, watu wa sasa si watu wa enzi zile, hivyo hikma kuu kuwaamsha na kukumbushana kila wakati bila kuchoka!