Mungu anakutizama "Angalia sana unachotamka usije ukawapa shida na watoto wako. kumbe kwasababu ya kuwa na baba mjinga". Waalimu wanahangaika mashuleni watoto akili ngumu kumbe ni nyie matahira mmekorofishana na Muumba
NOTE: Laana inatafuna hadi kizazi cha tatu
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo
38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano
wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Kazi kwenu kusuka au kunyoa na yesu wenu