Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus.

Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya habari ikiendelea mubashara, ambapo sauti ya mlipuko wa bomu ilisikika karibu na studio hizo na kumlazimu mtangazaji huyo kuondoka hewani kwenda kujificha bila kumaliza taarifa yake.

Israel ilifanya mashambulizi ya anga mnamo Julai 16, 2025, ikilenga majengo muhimu ya serikali nchini Syria, ikiwemo Ikulu ya Rais mjini Damascus, katika kile kinachoonekana kuwa mwendelezo wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria kufuatia kuanguka kwa utawala wa Assad mwezi Desemba 2024.

===================
A dramatic moment was captured live on television as an Israeli airstrike hit a Syrian military headquarters in Damascus just as a news presenter was broadcasting.

The female anchor is seen panicking and fleeing as a massive explosion erupts in the background, shaking the camera. A cloud of grey smoke can be seen billowing into the air in the background.

The strike reportedly targeted Syria’s Ministry of Defence, marking the third consecutive day of Israeli attacks amid ongoing clashes between Syrian forces and local fighters in Sweida. The video has since gone viral on social media.

Source: Free Press Journal, Sky News, MediaIte

Dah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
 
Huyu netanyahu ni mwehu, psychopath,

Na mpumbavu sana @6 packs
 
Yahudi muonevu sana.

Siku hizi huko Gaza daily utasikia watu 30, 50, 40 wanadedishwa ila dunia ya wakubwa imetulia tu.

Shambulio la Israel, wanasema limelenga kuwatetea Wasyria wa asili ya Duze ambao mpaka sasa wameuawawa zaidi ya 200 na kabila la waarabu wa huko huko Syria linalosaidiwa na Serikali.

Serikali ya Syria iwalinde watu wote, iache ubaguzi. Hao wasyria wa asili ya Duze ni raia sawa na wengine, kwa nini waarabu wanataka kuwaangamiza?
 
Dah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Hapo imelengwa ofisi ya wizara na sio makaz ya watu kama Assad alivyokuwa akifanya
 
Dah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Watanzania tujifunze uzalendo
Yasije kutukuta haya
 
Jana Israel amepiga maeneo mengi Sana hasa majengo ya serikali.
Hawa waarabu watakufa Sana wasipoishi vizuri na Israel,
Druze community wapo Syria Toka enzi na enzi na Leo jeshi la Syria wanataka kuwaondoa
Ooooh Druze kuondolewa sio halali ila Palestine kuondolewa Gaza ni halali?
 
Waarabu wangekubali kuungana na Iran dhidi ya Israeli, siajabu leo wangeheshimika.
Walivyokuwa pumbavu wameamua kukaa mgongoni mwa kubwa la wanafiki USA leo hii ndugu zao wanasurubiwa kila siku.

ndani ya viunga vya Fallujah - Iraq.
 
Back
Top Bottom