Na mpumbavu sana @6 packsMtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus.
Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya habari ikiendelea mubashara, ambapo sauti ya mlipuko wa bomu ilisikika karibu na studio hizo na kumlazimu mtangazaji huyo kuondoka hewani kwenda kujificha bila kumaliza taarifa yake.
Israel ilifanya mashambulizi ya anga mnamo Julai 16, 2025, ikilenga majengo muhimu ya serikali nchini Syria, ikiwemo Ikulu ya Rais mjini Damascus, katika kile kinachoonekana kuwa mwendelezo wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria kufuatia kuanguka kwa utawala wa Assad mwezi Desemba 2024.
===================
A dramatic moment was captured live on television as an Israeli airstrike hit a Syrian military headquarters in Damascus just as a news presenter was broadcasting.
The female anchor is seen panicking and fleeing as a massive explosion erupts in the background, shaking the camera. A cloud of grey smoke can be seen billowing into the air in the background.
The strike reportedly targeted Syria’s Ministry of Defence, marking the third consecutive day of Israeli attacks amid ongoing clashes between Syrian forces and local fighters in Sweida. The video has since gone viral on social media.
Source: Free Press Journal, Sky News, MediaIte
Yahudi muonevu sana.
Siku hizi huko Gaza daily utasikia watu 30, 50, 40 wanadedishwa ila dunia ya wakubwa imetulia tu.
Hapo imelengwa ofisi ya wizara na sio makaz ya watu kama Assad alivyokuwa akifanyaDah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Au siyo.Hapo imelengwa ofisi ya wizara na sio makaz ya watu kama Assad alivyokuwa akifanya
Watanzania tujifunze uzalendoDah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Yahudi muonevu sana.
Siku hizi huko Gaza daily utasikia watu 30, 50, 40 wanadedishwa ila dunia ya wakubwa imetulia tu.
Ooooh Druze kuondolewa sio halali ila Palestine kuondolewa Gaza ni halali?Jana Israel amepiga maeneo mengi Sana hasa majengo ya serikali.
Hawa waarabu watakufa Sana wasipoishi vizuri na Israel,
Druze community wapo Syria Toka enzi na enzi na Leo jeshi la Syria wanataka kuwaondoa
Ndio yatayoikuta Tanzania ya kesho, kwa wanaotuahidi kuipata nchi ya ahadi.Wakati mwingine Bora shetani unayemuona kuliko malaika unayeahidiwa
Ni lini wapalestina wameondolewa?Ooooh Druze kuondolewa sio halali ila Palestine kuondolewa Gaza ni halali?
Wanavyo kufa mpaka 50,000 ili waendelee kuwepo🙂↕️🙂↕️🙂↕️Ni lini wapalestina wameondolewa?
Kasome kuhusu "walowezi" kila siku wanapora ardhi ya wapalestine huko West Bank. Yaani wanawaondoa kwenye nyumba zao alafu wanabomoa na kujenga makazi mapya.Ni lini wapalestina wameondolewa?