MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Waarabu wana laanaDah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Iran Ndio ilikuwa inaua Wasyria kama kuku, Uislam una laanaWaarabu wangekubali kuungana na Iran dhidi ya Israeli, siajabu leo wangeheshimika.
Walivyokuwa pumbavu wameamua kukaa mgongoni mwa kubwa la wanafiki USA leo hii ndugu zao wanasurubiwa kila siku.
ndani ya viunga vya Fallujah - Iraq.
Inaenda kuwa kama Libya maana hata Libya walifurahia kuondoka kwa Gaddaf ila mwisho wa siku wanamkumbuka. Kila kabila na dhehebu linaguswa kwa muda mfupi sana ni bora wangeficha makucha yao ila hii inaonyesha kabisa wanataka kutengeneza dola yao ya sheria kali kwa iyo ni lazima wavunje nguvu ya makabila na madhehebu.Dah wasyria walifikiri anguko la Assad litaleta nafuu kwao but hali Yao inaxidi kuwa mbaya. Assad alikuwa mshia mwenye misimamo ya kadri kiasi kwamba watu wa dini na ethnic nyingine wakristu nk waliishi hapo kwa amani. Na tena wakiungana na Assad dhidi ya ISIS na Al Nustrah waliotishia uhai na uthabiti wa wasio waislam, na waislam wa misimamo ya kati.
Leo Syria ipo chini ya AL NUSRAH ( Al Qaeda affiliated group) Israel iko huru zaidi, Syria inazidi kugawanywa kule Israel kule Uturuki kule Marekani.
Ile Assad kuwa mvunjifu wa haki za kibinadamu halipo tena lakini wavunjifu wapo na hakuna wa kuwa.shughulikia
Siyo waarabu zaidi.. tatizo ni uislamuWaarabu wana laana
Jana pia Neta boy alipiga kanisa la kikatoliki pekee lililobaki Gaza na kaua wakristo.Siyo waarabu zaidi.. tatizo ni uislamu
Kitu ambacho ukijui ni kwamba kuna tofauti ndogo sana baina ya waislamu na waisrael kwenye mafundisho ya dini yao na imani yao ...waisrael awakuanza leo kuua wakristo hata waisrael wenzao walio wakristo hivyo kabla hata ya kuja uislamu waisrael ndiyo walikuwa kama waislamu wa sasa kwa wakristo.Jana pia Neta boy alipiga kanisa la kikatoliki pekee lililobaki Gaza na kaua wakristo.