secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Muache azisumbue hela......
itakuwa na yy zilimsumbua kuzipata
itakuwa na yy zilimsumbua kuzipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo Ni mtanzania?.. au KWAKUWA huna exposure unafikiri...Watu weusi wapo TZ pekeyake...Halafu watu mnakuja kubishsbisha tu kwamba hatujaingia uchumi wa kati na eti awamu ya tano haijafanya kitu
Kwani kwingine wapo?Sasa huyo Ni mtanzania?.. au KWAKUWA huna exposure unafikiri...Watu weusi wapo TZ pekeyake...
Ulikuwepo zikimsumbua wewe mkaldayoMuache azisumbue hela......
itakuwa na yy zilimsumbua kuzipata
Ww mwenyewe zinakusumbua hapo ulipo kwa abana ba nsungu....!!Ulikuwepo zikimsumbua wewe mkaldayo
Mkuu mbona Kama Umeumia Sana?haya mambo ni ngumu Sana wewe wa nje kuyaelewa....muacheee..hela.ngumu sana jamaniSawa mkuu tunamtakia kila la heri japo ajavunja sheria yeyote. Lakini kuna kitu Inaitwa self esteem 'staha'. Anachofanya kwenye iyo video siyo sawa.
Kwenye you tube hatapata kitu kwasababu hakuna advertisements kwenye video yake. Jamaa ameposti kwa kukomoa inaonekana alichekwa sana. Sasa kazi iliyopo hapo ni kuzikusanya hizo hela na kuzipanga.Hizo ni USD 2million ni parefu kwa mtu wa maisha ya uchumi wa kati. Bado na pesa za video youtube zinakuja yaani mwenye nacho huongezewa. Sasa post video zako za kilimo cha mchele uone utapata views ngapi