VIDEO: Muamuzi ligi daraja la kwanza akumbana na kipigo cha mbwa mwizi

VIDEO: Muamuzi ligi daraja la kwanza akumbana na kipigo cha mbwa mwizi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mechi ya Coastal Union vs KMC muamuzi akila kichapo baada ya Coastal kutoridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Wasamehewe tu ndio ivo homa ya akili inawaendesha watu mpaka bas
 
Kwa wilayani kwenye ligi daraja la 4 mambo ya washabiki kuja na mapanga na magongo ni jambo la kawaida..mpira hauishi bila ngumi ugomvi na matusi
 
Seriously...!
watu wanawekeza kwa wachezaji timu zingine zinawekeza kununua marefa sasa hapo zawadi zao ni zipi...
kunatimu inapaswa ichunguzwe inadaiwa bil 11.6 hapo toa pesa za wadhamini na pesa ya viingilio sasa walikuwa na matumizi yapi...
 
Na mwamuzi wa Simba Vs Yanga huenda anajiuliza huko aliko kuwa amepona vipi..!?
 
Asee! Huyu kamanda wa FFU ni mbishi kinyama.yaani kakomaa na kijiji mpaka kamfikisha ndani refa afu akawarudia kwa ghasia kubwa tu mashabiki acha watawanyike!!

Ahahaha!! Huwa sina mashaka kabisaa na mtiti wa soja wa Ghasia.
 
Kafanyakazi yake ipasavyo wamuangalie kumpandisha cheo maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu...
Uwanja wa Taifa siku ya Simba na Yanga walikimbiliabkufurumsha mabomu wangekuwepo kama Afande kama huyu kumi wangewapandia huko huko wangoa viti...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hopefully watafanya hivyo ili kutoa motisha kwa watumishi wa idara zote majeshi na idara za kiraia.

Hard work forever pays...ila kwa bongo Nina mashaka kidogo na hii principle.
 
Back
Top Bottom