Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wafata sheria 17 za mpira wa miguu vinginevyo hiyo ni haki yao..Dah ustarabu bado sana.
Seriously...!wafata sheria 17 za mpira wa miguu vinginevyo hiyo ni haki yao..
Mechi ya Coastal Union vs KMC muamuzi akila kichapo baada ya Coastal kutoridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga.
watu wanawekeza kwa wachezaji timu zingine zinawekeza kununua marefa sasa hapo zawadi zao ni zipi...Seriously...!
Kafanyakazi yake ipasavyo wamuangalie kumpandisha cheo maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu...Asee! Huyu kamanda wa FFU ni mbishi kinyama.yaani kakomaa na kijiji mpaka kamfikisha ndani refa afu akawarudia kwa ghasia kubwa tu mashabiki acha watawanyike!!
Ahahaha!! Huwa sina mashaka kabisaa na mtiti wa soja wa Ghasia.
Hopefully watafanya hivyo ili kutoa motisha kwa watumishi wa idara zote majeshi na idara za kiraia.Kafanyakazi yake ipasavyo wamuangalie kumpandisha cheo maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu...
Uwanja wa Taifa siku ya Simba na Yanga walikimbiliabkufurumsha mabomu wangekuwepo kama Afande kama huyu kumi wangewapandia huko huko wangoa viti...[emoji1] [emoji1] [emoji1]