Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,882
- 16,472
Wasauzi hawana jeuri hio kwa watu weupe, wao upumbavu wao na chuki zao ni kwa weusi tu wenzao.Oyaaaaa wasauzi Eeeh hebu lianzisheni huko maana nyie nawaaminia sana hamna ngebe... Lianzisheni tu kama vipi nahisi na sie tutafata tu hamna namna tutavunja undugu na hawa kenge
Enyi Waafrika tusio na akili ni nani alieturoga?