Wasauzi hawana jeuri hio kwa watu weupe, wao upumbavu wao na chuki zao ni kwa weusi tu wenzao.Oyaaaaa wasauzi Eeeh hebu lianzisheni huko maana nyie nawaaminia sana hamna ngebe... Lianzisheni tu kama vipi nahisi na sie tutafata tu hamna namna tutavunja undugu na hawa kenge
Nani kakwambia huyo ana Corona? Wanamvuta sababu ni mweusi, na weusi wanatuhumiwa kuleta corona, its a collective punishmentJe ni rahisi kwa watu wenye akili zao kumburuta mtu mwenye corona au wanaemhisi kuwa na corona kirasi hivyo? Hawaogopi kuambukizwa? Za kuambiwa changanya na zako!!!
Wallahii nakuambiaaa huyuu anaevutwaaa Ni mjingaaaaa.Nani kakwambia huyo ana Corona? Wanamvuta sababu ni mweusi, na weusi wanatuhumiwa kuleta corona, its a collective punishment
Nilishawahi kuleta uzi kuelezea kuwa hao wazungu/machainizi they don't care about us, na hawatupendi nikaambiwa oh eti lugha ya kibaguzi, haya sasa!
Inabidi tufikie mahali na sisi Africans tuweke sheria ngumu kwa hao jamaa ili tuheshimike, uzalendo unahisika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaukiza kwa hapa Tz, ni jambo lipi linaweza kufanya mChina akabutwa hivyo? Hajasema kwamba umesema ni jambo zuri, hapana, that wasn’t the question, swali ni jambo lipi linaweza kupelekea hayo kwa Mchina hapa bongo? Tunajua wote ni jambo baya, ila jibu swaliUngesoma chote nilichoandika ungejua kabisa nimeandika kua hata kama kafanya kosa hastahili kuburuzwa hivyo. Msiwe mnajibu kama hamjasoma kitu chote ambacho mtu kaandika. Sijaandika hata paragraph mbili moja tu umeshindwa kumaliza au kuchanganya na ngeli kidogo kumekupiga chenga?
Daah kweli, tunakuwa treated less than mchele?!Mchele ni chakula hauwezi kuburuzwa vile.
Kiongozi umekua kimya kule JLW....Prof.Kabudi yupo kimya tu kama vile all is well..
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Huwezi jua walimtight kwa gia ipi, hata wasomali mbona wanapigwa sana huko China..Wallahii nakuambiaaa huyuu anaevutwaaa Ni mjingaaaaa.
Haki ya Munguu msomalii hapoo pangechimbikaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wanakulisha wewe..Mbwa hambwekei amlishaye.
Naona unamuongelea, acha aje mwenyewe we upo kichwani mwake? Don’t jump into issues you aren’t invited my friendKaukiza kwa hapa Tz, ni jambo lipi linaweza kufanya mChina akabutwa hivyo? Hajasema kwamba umesema ni jambo zuri, hapana, that wasn’t the question, swali ni jambo lipi linaweza kupelekea hayo kwa Mchina hapa bongo? Tunajua wote ni jambo baya, ila jibu swali
Labda wanakulisha wewe..
Haina jinsi
Anayeendelea kuamini kuwa maendeleo ya mtu mweusi yataletwa kwa msaada wa mtu mweupe azidi kuamini hivyo ilà hawa watu ni HAPANA!
Kwelii ilaaa .Huwezi jua walimtight kwa gia ipi, hata wasomali mbona wanapigwa sana huko China..