Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akililia wembe,mpe ajikate kucha.Wanaokufa ni wanajeshi maana hawapaswi kuishi.... maumivu kwa familia zao.
Nyie vita si kitu kizuri Ndugu zangu
Inaumiza sana, mwanangu anaipenda sana hii Kaz,bas mi namwangaliaMtoto akililia wembe,mpe ajikate kucha.
🤣🤣🤣🤣Huyo zayuni hafai kabisa.When we see him,we have seen the image of shaitwaan bin jinii!
Au unasemaje ndugu yangu?🤣🤣🤣🤣
Huyo zayuni hafai kabisa.When we see him,we have seen the image of shaitwaan bin jinii!
Haiwezi kuwepo kwa sababu haijawahi kuwepo.Kwisha maneno.Anakula good time!
Ana jeuri sana huyu dingi anasema, No Palestinian state
Kaandika 4 ya ukweli, halafu anacheka tu kama mazuri. Hana wasiwasi km vile hakuna vitaAu unasemaje ndugu yangu?
Dah!Mwamba anajidai sana.Tutamtumia makamanda wa jeshi la Iran wamteke.😂😂😂😂
Sasa unadhani wanajeshi wana sign kazini kwenda kuwa stage show? Ndo uzalendo kupigania nchi yao. Huyu jamaa anawagonga magaidi ile mbaya. Ili binadamu wengine waishi kwa amani.Wanaokufa ni wanajeshi maana hawapaswi kuishi.... maumivu kwa familia zao.
Nyie vita si kitu kizuri Ndugu zangu
Jamaa huwa anatabasamu tu huku anawagonga wenzie. Hata akiongea ni kama hataki. But anatembeza kipigo hatasahaulika huyu jamaa siku akifaKaandika 4 ya ukweli, halafu anacheka tu kama mazuri. Hana wasiwasi km vile hakuna vita
Ile teknolojia ya kulenga makomwe ya maadui huwa inanishangaza sana.Ni komwe tu linalengwa hata ukiwa na fimbo!Sasa unadhani wanajeshi wana sign kazini kwenda kuwa stage show? Ndo uzalendo kupigania nchi yao. Huyu jamaa anawagonga magaidi ile mbaya. Ili binadamu wengine waishi kwa amani.
View attachment 3143014
Hujui rohoni anayopitia ile nightmare yake ni kutembea na chupi unaongea peke yakoKaandika 4 ya ukweli, halafu anacheka tu kama mazuri. Hana wasiwasi km vile hakuna vita
Na kaandika nne yake hana baya na mtu. Ila mwamba anajua kuwa nyoosha kobaziAnafurahi tu....anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi ....amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
View attachment 3143008
Mwamba hana baya. Akifa haozi huyu mwamba. Anacheka tu huku kakunja nne na masela wanapiga stories. Ayatollah yupo mapangoni kama panyaNa kaandika nne yake hana baya na mtu. Ila mwamba anajua kuwa nyoosha kobazi
Anahamahama kila shimo huko ila mtego utamnasa tu kilio kije kwa kobaziMwamba hana baya. Akifa haozi huyu mwamba. Anacheka tu huku kakunja nne na masela wanapiga stories. Ayatollah yupo mapangoni kama panya