Video: Mwamba huyu hapa. Wala hajifichi kwenye mashimo. Simba hukaa sehemu za wazi siyo kama panya

We ushangai kaenda beach na suti.
Huoni umati wa walinzi waliomzunguka ilihali yuko nchini kwake Israeli.
Unajua idadi ya Iron domes zilizopo eneo hilo?.
 
Anafurahi tu....anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi ....amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.


View attachment 3143008


Huyu Neta ni one of Super Commando, hilo watu wajue, sio Waziri Mkuu tu, ni Man of its kind, na kafanya successful mission nyingi sana, imagine, Ayatollaah hata kulenga tu shabaha hawezi, acha kupigana vita, alafu anamchokoza 😅😅
 
We ushangai kaenda beach na suti.
Huoni umati wa walinzi waliomzunguka ilihali yuko nchini kwake Israeli.
Unajua idadi ya Iron domes zilizopo eneo hilo?.
Sasa hilo si jambo la kawaida.kwani Samia anatembea peke yake? Na Ayatollah naye aende beach na kanzu
 
Kama ni Africa ningemfananisha na mbishi mmoja hivi hayati JPM

Huyo mwamba naye ana yake, alikuwa haambiliki, hashauriki, si muoga, analoamini atalifanya, asiloliamini hata waje watu elfu mbele yake kumshauri na hatofanya, kuishi au kufa, kwake ni sawa juu ya kile anakiamini

Mwamba JPM,
 
Wanaokufa ni wanajeshi maana hawapaswi kuishi.... maumivu kwa familia zao.
Nyie vita si kitu kizuri Ndugu zangu
Ukiingia jeshini maana yake umeyakana maisha yako kuwa uko tayari kuifia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…