Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #41
WANAOLALA MASHIMONI MBONA WANAJULIKANA TU WAKIFUKULIWA NA WAO WAKIFUKUANA. 🤣🤣🤣🤣Kahama nyumbani,analala shimoni,ataendeleza hilo hadi disemba Ili kukwepa mahakama na tuhuma za ufisadi
Aliko Muddy? Ha ha ha.... Kipigo kipo pale pale... allah ndo atakuwa jehanamu anaandalia na wengine waende hukoWewe na huyo SHETANYAHU wako mna sehemu maalumu imeandaliwa kule JEHANAMU
Aliko Muddy? Ha ha ha.... Kipigo kipo pale pale... allah ndo atakuwa jehanamu anaandalia na wengine waende hukoWewe na huyo SHETANYAHU wako mna sehemu maalumu imeandaliwa kule JEHANAMU
Inashangaza nawe unaonesha ushabiki huo huo kwa kusoma na ku commentCCM inatumaliza na haya maisha magumu, matokeo yake na Nyinyi mlivyo Mambumbumbu mnafurahia mambo yasiyo wahusu.
Hivi tumerogwa na nani watanzania ?
Basi basi ndg utawaua kwa hasira, acha hii mamboWANAOLALA MASHIMONI MBONA WANAJULIKANA TU WAKIFUKULIWA NA WAO WAKIFUKUANA. 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3143120View attachment 3143121View attachment 3143122
Huyu ndiye David wa nyakati hizi. Magaidi yatapata tabu sana!Huyo zayuni hafai kabisa.When we see him,we have seen the image of shaitwaan bin jinii!
Kama mbowe siku ya maandamanoAnafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
Yeah. Mwamba ameonesha mfano Mubashara kwamba maisha sio kujiwekea msululu wa masharti eti usivae hichi, usile kile, usiache kichwa wazi, Usinyoe ndevu, usiingie chooni ukitanguliza mguu wa.., etc.etc.Angekuwa bi Kidawa angebebewa kiti cha nyumba kuu lkn mwamba kakalia plastic la cello tu
Sawa mkuu....maana yake afocus na masomo gani hasa?Mpambanie focus iwe military intelligence,drone pilot,cyber...
Hao wote ni viongozi wa vikundi sio serikali au nchi so kuna tofauti kubwa
Mwache mtoto akalilinde Taifa askari hafi ila anapumzika. Sijui huko uraiani nyie mnasemajeInaumiza sana, mwanangu anaipenda sana hii Kaz,bas mi namwangalia
Kikubwa asome IT focus iwe Cyber security anza kumuandaa mapema na PC.Sawa mkuu....maana yake afocus na masomo gani hasa?
HAlafu amekaa kiti cha plastic cha sherehe za kawaida za vigodoro vikobaMwamba ametulia, ningekuwa karibu hapo ningemnunulia hata ka bucket ajiachie huku antafakari namna ya kuendeleza adabu kwa wazee wa kobaz