Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tanzania mnahitaji ukombozi walai!!Hao ni mungiki weka ugoko waweke chuma..............hapo bongo ukithubutu utajikuta muhimbili au mwananyamala umelala fo fo foo huku kiuno kiko juu ya kamba ............maana ndio cha kwanza kupata mateso
"Hatucheki na wowote"
Mbona kiswahili cha Kenya?Hii sasa ukisika atucheki na wowote ndiyo hii. Pia ni kuonyesha ukomavu katika kusimamia sheria na utaratibu uliwekwa bila kujali cheo au nafasi ya mtu!
Mwanamke mmoja, kwa kuonesha mshikamano na wananchi wenzake, aligoma kupisha gari la serikali lililokuwa likivamia upande usio wake barabarani.
Labda ashuke Yesu kutupa lessons bila hivyo hakuna kitu tutaweza.Je watanzania tutafika kama wakenya
Hata hivyo niko nao huku kwao ndoo zao wakiamua jambo lao wameamua aisee, haijalishi awe nani, kuna wakati walikataa salamu ya raisi waoLabda ashuke Yesu kutupa lessons bila hivyo hakuna kitu tutaweza.
Yule afanye hana akili, ile video itamsuta saana na ana card ya CCMNilijua bongo, afande kulakula wanavyopenda sifa sahizi angekuwa MOI au Mloganzila
Kazi ya jeshi hasa polisi kwakweli sijui mwisho wao huwa vipiYule afanye hana akili, ile video itamsuta saana na ana card ya CCM