PreGE2025 VIDEO: Mwijaku amuombea Dua Rais Samia katika Ibada Umra huko Makkah, ashinde Uchaguzi Oktoba 2025

PreGE2025 VIDEO: Mwijaku amuombea Dua Rais Samia katika Ibada Umra huko Makkah, ashinde Uchaguzi Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kuna mambo yanachekesha.
Ukizidisha uchawa inaonekana akili haiko sawa huna hadhi ya kuwa kiongozi, raisi hakuteui uongozi nafasi yeyote.
Kwa kukulipa fadhila atakupenyezea deals za fedha tu na visafari vya hapa na pale kwenye ziara zake.
 
Mwijako na wengi wakuu wa mikoa kama wa pwani dar Mbeya kuna tofauti gani? Mbona ni wale wale mda wowote huyu anateuliwa kua mkuu wa wilaya CCM haitaji quality but quantity
 
Naye Sasa Ni Alhaj
Amekwenda Kuzunguuka Jiwe Jeusi Na Kumpiga Shetani Mawe
Pia Amekunywa Maji Ya Zam Zam, Tende Pembeni
Ndiyo Royal Tour
 
Back
Top Bottom