PreGE2025 VIDEO: Mwijaku amuombea Dua Rais Samia katika Ibada Umra huko Makkah, ashinde Uchaguzi Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna mambo yanachekesha.
Ukizidisha uchawa inaonekana akili haiko sawa huna hadhi ya kuwa kiongozi, raisi hakuteui uongozi nafasi yeyote.
Kwa kukulipa fadhila atakupenyezea deals za fedha tu na visafari vya hapa na pale kwenye ziara zake.
Na ndio level aliyofikia mwijaku hiyo
 
Wakuu

Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sina uhakika kama huyu ndugu ana elimu ya ibada ambayo anaifanya! Ukitaka maswala ya kisiasa kuyaingiza kwenye dini utapotea sana.
Mimi binafsi si mwanachama Wala sio shabiki wa chama chochote cha kisiasa ila naiheshimu serikali iliyopo madarakani.
Pamoja na hayo kumuingiza Allaah kwenye mambo ya siasa za nchi ni utaahira wa hali ya juu.
Eti Allaah aisapoti CCM na kuwaangamiza wanasema No reforms no election?! Hizi dua za huyu limbukeni pamoja na Dua za wale waliosema eti wanawaagiza malaika na majini wamuombee mh rais , Hawa naona kwasababu wanatumia njia ambazo kidini haziruhusiwi na kisiasa hazipo , HAWA NDIO WATAKAOMTIA MIKOSI MAMA SAMIA ASHINDWE KWENYE UCHAGUZI UJAO KWA SABABU WANAMUINGIZA ALAAH MAHALA PASIPOSITAHIKI.
 
Wakuu

Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mzaha wa kidini. Ngoja nione kama atasomewa albadir
 
Wakuu

Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa Tume hii hakuna haja ya kumuombea ,hata watu wasipopiga kura SISIEMU itashinda ,hata watu wakipiga kura kwa Upinzani ,SISIEMU itashinda!! SISIEMU haiondolewi kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom