Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwijako na wengi wakuu wa mikoa kama wa pwani dar Mbeya kuna tofauti gani? Mbona ni wale wale mda wowote huyu anateuliwa kua mkuu wa wilaya CCM haitaji quality but quantityKuna mambo yanachekesha.
Ukizidisha uchawa inaonekana akili haiko sawa huna hadhi ya kuwa kiongozi, raisi hakuteui uongozi nafasi yeyote.
Kwa kukulipa fadhila atakupenyezea deals za fedha tu na visafari vya hapa na pale kwenye ziara zake.
Wakuu
Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.
Hali Imefikia huku?😅😅😅Wakuu
Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.
Kaaba ktk msikiti wa Al-haram imeshushwa hadhi sanaWakuu
Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.
unamkandia ndugu yako!Mwijako na wengi wakuu wa mikoa kama wa pwani dar Mbeya kuna tofauti gani? Mbona ni wale wale mda wowote huyu anateuliwa kua mkuu wa wilaya CCM haitaji quality but quantity
Nimelia snWakuu
Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda.
"Mtu safi hana chawa!!"👿
Nchi imefika kwenye kiwango kikubwa kabisa cha upuuziWakuu