Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Inakuwaje wanajamvi.

Hii sasa ni too much.

Mhamasishaji, mchekeshaji, mtangazaji, msomi na chawa mkuu maarufu nchini DC Mwijaku the national disgrace katoa mpya huko mitaani New York.

Mwijaku ambaye hana mshipa wa aibu na ambaye yuko ziarani Marekani akiambatana na mke wake kafanya vioja vya aina yake kwenye mitaa maarufu Jijini New York akijirekodi na kuposti kwenye ukurasa wake wa FB huku akiwa kifua wazi na boksa kuonekana.

Wadau wengi wamekasirishwa sana na kitendo hiki na hii tabia yake ya kukera na kuiomba Serikali ingilie kati kumkanya na kumkataza kwa tabia hii kwasababu ana aibisha taifa na anatuabisha.

Wadau wengine wamecomment mbona baba Levo, joti Doto Magari na Mpoki hawako hivo?

Mwengine kakasirika na kudai mwijaku anaaibisha imani yake na familia yake.

Hata hivyo kuna wengine wamemuunga mkono Mwijaku kwenye huo utopolo wake na kumpongeza eti kila mtu ana uhuru wa kufanya na kuishi maisha yake anavyopenda ilmrad havunji sheria za nchi.

Video hapo chini.
View attachment 3085944

mrangi Accumen Mo dronedrake King Kong III
Naona amekutuma uje kumpromote.
 
Naona amekutuma uje kumpromote.
Sijui umejuaje mkuu kwasababu kuna siku aliniambia niwe stanby nimrekodi akitatuliwa rinda halafu niiposti eti itamuongezea umaarufu. Nilichoka maamae nikatamani ni commit suicide nife nipotee kabisa ilmardi tu nisishare the same earth and oxygen with sycophants maamae.
 
Back
Top Bottom