Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Matusi hayasadii chochote.

Ninyi ni makapuku ambao maisha na raha za watu wengine zinawauma.

Isitoshe mko huko vilabuni vijijini Madongo kuinama mnakunywa wanzuki zenu mioyo ikiwauma,

Mkiona watu wakila raha zao kimataifa.
Bora kukaa madongo kuinama na marinda yangu kuliko kukaa huko ulipo huku ukipiga chafya ushuzi na kimba vinakutoka. Inakuwa kama unapiga screenshot😂😂😂😂
 
Matusi hayasadii chochote.

Ninyi ni makapuku ambao maisha na raha za watu wengine zinawauma.

Isitoshe mko huko vilabuni vijijini Madongo kuinama mnakunywa wanzuki zenu mioyo ikiwauma,

Mkiona watu wakila raha zao kimataifa.
Wanaume Wanakunywa kwa hela walizopata kistaarabu huko vijijini sio hizo za dume zima kuambiwa inama na dume lingine ili litoe hela
 
Wanaume Wanakunywa kwa hela walizopata kistaarabu sio hizo za dume zima kuambiwa inama na dume lingine ili litoe hela
Kama unafikiri ni rahisi hivyo, Mashoga wote waliojazana sinza, kinondoni, Zanzibar n.k wote wangesha kuwa matajiri.
 
Kuna watu wanazaliwa bila mshipa wa aibu - sasa nchi ya watu na chupi nje wapi na wapi? Utamaduni wa mwafrica uko hivyo kuonyeaha tumbo wazi na nguo za ndani? Kuganga njaa kuwe na mipaka.
 
Matusi hayasadii chochote.

Ninyi ni makapuku ambao maisha na raha za watu wengine zinawauma.

Isitoshe mko huko vilabuni vijijini Madongo kuinama mnakunywa wanzuki zenu mioyo ikiwauma,

Mkiona watu wakila raha zao kimataifa.
Sasa hivi anaitwa shoga coz wabongo wengi kwa muda huu ndio wamekariri hilo neno,ingekua zamani wangesema Freemasons au muuza ngada,

Watu wana ushamba uliopitiliza,kuvua shati sio dalili ya ushoga ni swaga zake Miji mikubwa Duniani sio ajabu kuona watu wanatembea bila mashati,tembeeni mjionee,

Kwahiyo wasanii wanapovua mashati Jukwaani na chupi kuonekana ni mashoga? Mbona hua hamuwajadili hao wasanii? Iweje Mwijaku ndio iwe ajabu? Wasanii wangapi wanaenda US na nchi zingine kisha hua wanavua mashati?

C'mon wakuu,kumtuhumu mtu ushoga bila kua na vivid evidence sio sawa.
 
Back
Top Bottom