Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Kwa hiyo kila aliye kimataifa ni shoga?

Unajua ukapuku unakusumbua sana.
giphy.gif
 
Mbona hakuna kitu amefanya cha kuaibisha nchi
Unajua waafrika hasa watanzania wanasumbuliwa na ufukara ndio maana wakiona mtu anakula raha kimataifa inawauma na kuwachoma.

Kuna mijitu ni mafukara maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Hata passport hayana.

Kwa hiyo wakiona mtu yupo internationally anakula maisha, Mioyo inawapasuka paaaaaah!!!
 
Sasa hivi anaitwa shoga coz wabongo wengi kwa muda huu ndio wamekariri hilo neno,ingekua zamani wangesema Freemasons au muuza ngada,

Watu wana ushamba uliopitiliza,kuvua shati sio dalili ya ushoga ni swaga zake Miji mikubwa Duniani sio ajabu kuona watu wanatembea bila mashati,tembeeni mjionee,

Kwahiyo wasanii wanapovua mashati Jukwaani na chupi kuonekana ni mashoga? Mbona hua hamuwajadili hao wasanii? Iweje Mwijaku ndio iwe ajabu? Wasanii wangapi wanaenda US na nchi zingine kisha hua wanavua mashati?

C'mon wakuu,kumtuhumu mtu ushoga bila kua na vivid evidence sio sawa.
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Wabongo wengi ni maskini choka mbaya. Wana utapiamlo kichwani sababu ya ukapuku.
 
Inakuwaje wanajamvi.

Hii sasa ni too much.

Mhamasishaji, mchekeshaji, mtangazaji, msomi na chawa mkuu maarufu nchini DC Mwijaku the national disgrace katoa mpya huko mitaani New York.

Mwijaku ambaye hana mshipa wa aibu na ambaye yuko ziarani Marekani akiambatana na mke wake kafanya vioja vya aina yake kwenye mitaa maarufu Jijini New York akijirekodi na kuposti kwenye ukurasa wake wa FB huku akiwa kifua wazi na boksa kuonekana.

Wadau wengi wamekasirishwa sana na kitendo hiki na hii tabia yake ya kukera na kuiomba Serikali ingilie kati kumkanya na kumkataza kwa tabia hii kwasababu ana aibisha taifa na anatuabisha.

Wadau wengine wamecomment mbona baba Levo, joti Doto Magari na Mpoki hawako hivo?

Mwengine kakasirika na kudai mwijaku anaaibisha imani yake na familia yake.

Hata hivyo kuna wengine wamemuunga mkono Mwijaku kwenye huo utopolo wake na kumpongeza eti kila mtu ana uhuru wa kufanya na kuishi maisha yake anavyopenda ilmrad havunji sheria za nchi.

Video hapo chini.
View attachment 3085944

mrangi Accumen Mo dronedrake King Kong III

Kumbe unatumia Tecno imechoka hivi
 
Unajua waafrika hasa watanzania wanasumbuliwa na ufukara ndio maana wakiona mtu anakula raha kimataifa inawauma na kuwachoma.

Kuna mijitu ni mafukara maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Hata passport hayana.

Kwa hiyo wakiona mtu yupo internationally anakula maisha, Mioyo inawapasuka paaaaaah!!!
Yaniii eti anatembea tumbo wazi
Wangejua huko dunia ya kwanza hakunaga mtu anajali Mambo ya mwingine wangetulia tu dawa iwaingie.

Waache watu waishi Maisha yao
 
Back
Top Bottom