Video: Mwizi kapatikana, kwa adhabu hii harudii tena

Khabisa bora gay ahsee wezi wanachomwa mpaka moto ila akina Juma lokole tupo nao meza moja
Ma panya road yanapigwa risasi na police kila leo, ila mashoga wa uswazi kila siku wako shughurini na matarumbeta yao winja winja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo bora nani?
 
Tulia wewe acha ushamba
 
Wananchi wamemwambia Mwizi "sisi hatukupigi hata kidogo, ila we amisha maji kwenda ndoo nyingine kisha ondoka".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884400

Nini maoni yako?
Kuna moja niliona jamaa kawekewa fimbo ila imepitishwa na mikononi kaning'inizwa kwenye matofali yaliyopangwa kwahyo hagusi chini majamaa wanampiga vibao na ngumi anaenda kama bembea nyuma kuna ukuta anajigonga jamaa alilia kwa uchungu mwisho wa video natoa hadi kamasi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Waafrika ni vichaa almost.
Nguvu wanayoitumia kwenye mambo madogo walipaswa waitumie kwenye mambo muhimu.
Nchi za Afrika kila leo zinapokea mabilioni ya misaada, Kodi zinakusanywa mabilioni lakini maendeleo hakuna. Kila chaguzi wanaahidiwa maji, umeme na barabara.
Anayeahidi yuko madarakani miaka zaidi ya 10
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wananikubalii sana, nikiwapa cha mbavu PM hasira wanaleta huku jukwaani.
Yani mtu amewahi mpaka kuchukua tuzo kwenye jukwaa la celebrities afu kajitu kanatoka makamasi eti unakuja kumfokea na kumtisha block cocastic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu bhnaa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ