Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Betri za saa ukizimeza zina madhara gani? Hazitoki kama zilivyo au ile acid kali ya tumboni inazifanya ziripuke? Na inakuwaje?Miaka Ile ya 90's tulikuwa tunampa mwizi betri 4 za SAA ameze zote kama panadol