Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Betri za saa ukizimeza zina madhara gani? Hazitoki kama zilivyo au ile acid kali ya tumboni inazifanya ziripuke? Na inakuwaje?Miaka Ile ya 90's tulikuwa tunampa mwizi betri 4 za SAA ameze zote kama panadol
Inapasuka unakufaBetri za saa ukizimeza zina madhara gani? Hazitoki kama zilivyo au ile acid kali ya tumboni inazifanya ziripuke? Na inakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo anapewa stahiki kadri ya namna yake ya kuiba.Kila mtu ana staili yake ya kuiba, so kila mtu ni mwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatafuta kujulikana JF kupitia mie. Maana alikua na uwezo wa kumute kutojibu comment ang au kuniblock kimya kimya,Yani mtu amewahi mpaka kuchukua tuzo kwenye jukwaa la celebrities afu kajitu kanatoka makamasi eti unakuja kumfokea na kumtisha block cocastic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu bhnaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Alichoiba ni nini ?.Wananchi wamemwambia Mwizi "sisi hatukupigi hata kidogo, ila we amisha maji kwenda ndoo nyingine kisha ondoka".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884400
Nini maoni yako?
DuhhhSafi sana mwizi apewe chake na anacho stahili.
Bora Mtoto Gay, kuliko Jizi woiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😳😳😳😳Safi sana mwizi apewe chake na anacho stahili.
Bora Mtoto Gay, kuliko Jizi woiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwemaa??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwema?Duhhh
Imeandikwa hiyo tokea enzi kabla ya uislamu haujaanzaHapo hawezi kukoma. Dawa ni kumkata kiungo anachotumia kuibia