Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiamua kufanya hivyo, mbona chadema tutawafuta mitaani!!!! hahahaaaaaaa..kuandamana tu hamuwezi,ya mtaa kwa mtaa mtayaweza????lets us identify them by name here, tuwaorodheshe kwa majina hapa hao wanaitwa nani na wanaishi wapi. tukiwachekea mwakani watatusumbua sana na kuiacha nchi kwenye mataputapu ya ccm.
Hivi makonda nini kilimpeleka? Sina shaka kabisa kufahamu kama yeye ndiye mratibu wa fujo.
Naona mmeanza kuupaka upepo rangi sasa! Makonda ndiye alieratubu vurugu hizo! Yeye na mdogo wake Nchemba anaeonekana hapo ndiyo chanzo cha Vurugu na kumpiga mzee wetu! Watoto hawana adabu hata kidogo! Laana ya wazee wetu itawadhuru hadi kwenyei makaburi yenu ... Grrrrrrr
Hata hizo ni video. Sio lazima video ziwe zinatembea. Kumbuka Luna video na audio. Wewe unataka kuniambia hapo umeasikia au umeona...Kanjanja! Wapi video?
Warioba ni mchochezi
Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati
Chuki na Uvunjifu wa amani nchiniAnachochea nini??
Hivi Makonda ni nani hasa?