Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

lets us identify them by name here, tuwaorodheshe kwa majina hapa hao wanaitwa nani na wanaishi wapi. tukiwachekea mwakani watatusumbua sana na kuiacha nchi kwenye mataputapu ya ccm.
Tukiamua kufanya hivyo, mbona chadema tutawafuta mitaani!!!! hahahaaaaaaa..kuandamana tu hamuwezi,ya mtaa kwa mtaa mtayaweza????
Think twice baby girl
 
Kukanusha chochote kinachokuhusu ni jambo la kawaida,tulitegemea makonda atakanusha tu,lakini huyo dogo namhurumia sana,maana 2015,atatafuta pa kujifichia,either washinde ukawa au lowasa kutokana na kutokuwa na nidhamu kwake.
 

Hawa akina Makonda na Msangi ndio waliompiga Dr Ulimboka hadi huduma za afya zimesinama nchini.
 
Wale wanyanyua mabango ndio wanajua kila kitu ndio wawe most wanted watataja mtandao mzima na aliyepanga mkakati.Picha zao zipo.Mliopo vyyoni pitieni zile picha tujue wapo vyuo gani
 
Imedhihirika kuwa Makonda hakuwa anamuokoa Mpanju,bali alimfanya kama kinga coz ni mlemavu,ila makamanda wakamchomoa
 
Acheni siasa Makonda ndie alimpiga Warioba jamani mnaleta siasa mpaka kwenye maisha ya mtu? Sasa naamini ni kweli wanaoratibu vurugu kwenye mikutano ni CCM ili kuwapaka matope wengine. Maana kwenye hili nalo mnaligeuza?? Warioba alipigwa na Paulo Makonda hizo pinduapindua zenu wapelekee hukohuko TBC
 
Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati

Anayepaswa kusoma alama za nyakati ni ccm,ccm itang'oka kwakuwa hayo mnayofanya yameshagundulika kwa wananchi,mbinu zenu chafu za kutaka mbaki madarakani kwa kuumiza watu ndizo zinazosababisha chuki kubwa kutoka kwa wananchi.
 
Paul Makonda anajitahidi sana kujinyanyua lakini kama ikitokea akateleza na kuanguka basi haitakuwa rahisi kwake kunyanyuka kisiasa tena maishani
 
Last edited by a moderator:
Inapofika hatua mtu mzima unapopolewa mawe hadharani mchana kweupe unapaswa kujifanyia tathmini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…