MUME MWEMA
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 327
- 44
Hivi Makonda ni nani hasa?
mwenyekiti uvccm taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Makonda ni nani hasa?
Naona mmeanza kuupaka upepo rangi sasa! Makonda ndiye alieratubu vurugu hizo! Yeye na mdogo wake Nchemba anaeonekana hapo ndiyo chanzo cha Vurugu na kumpiga mzee wetu! Watoto hawana adabu hata kidogo! Laana ya wazee wetu itawadhuru hadi kwenye makaburi yenu ... Grrrrrrr
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba
Ujinga mtupu!
Sasa ni nini hiki? Mimi nilidhani hiyo clip itamwonesha mtu anayerusha jiwe. Kumbe kilichofanyika hapa ni TBC kuondoa picha ya Paulo Makonda wakati akimrushia jiwe jaji Warioba. Pathetic CCM.
Ningeshangaa sana kama TBC ingeweza kuonesha kitu kilichotokea wakati sasa chombo hiki kimebakia kuwa ni chombo cha propaganda cha CCM. Nchi ikirudi kwa wananchi, chombo hiki kinachokula kodi yenye bila faida yoyote itabidi kuvunjwa na kuanzishwa upya kikiwa na malengo mapya na maongozi mapya. Na nadhani uongozi wa juu uliokwishachafuliwa na CCM, wote itabidi kusafishwa.
Makonda ana laana
Ziko wapi picha za Makonda akila kichapo
Hivi kazi ya taasisi ya Nyerere foundation ni kupinga katiba tu?
Hahaha..mkuu, ipo siku atajichanganya huyuMkuu nakwambia huyu Makonda ninatamani nimfanye kakondakita katika ile daladala yangu....yani amenichefua nafsi sana natamani awe hapa A town tumwonyeshee mambo!
Wewe Mpumbavu unaleta clip iliyonyofolewa picha ya makonda wakati anampiga mzee wetu hiyo laana hatamuacha
Kabla ya kufikia hiyo asilimia 70 kwenye 50 tu hali itakuwa mbaya. Viongozi wengi wa chichiem watakuwa wanatembea kwa kujificha.Siku 70%ya watanzania wakijua ukwel itakuwaje?
Kama huyu Makonda ni kweli alipanga mipango ya kuvuruga mdahalo, akafikia hatua mpaka ya kumpiga Mzee Warioba kwa mkono wake, laana kuu na iwe juu ya kichwa chake, na maiti yake inyofolewe na ndege kama ile ya Yuda Iskariote.
Hapa CCM wanamteteaje Makonda mbona ushahidi uko wazi.
CCM acheni kujidanganya kuwa Warioba asome alama za nyakati wakati nyie ndo mnatakiwa msome. Nina uhakika event kama hii ikijirudia ndo mtajua nani wa kusoma alama za nyakati kati ya CCM na Warioba
Jamiiforums is where we dare to talk openly!![]()
Inawezekana vipi Tanzania ya 2014 watu washindwe kurekodi hata kwa simu tukio zima la kupigwa kwa warioba?
Dunia ya leo ya Twitter, youtube etc inamaana hata mtandao wa JF nao wameshindwa kupandisha hiyo video au ndio walikuwa hawana facilities za kurekodi kwa simu?
Watanzania tunapaswa kujifunza demokrasia ya kweli na kuvumiliana kwa maoni kinzani. Kilichotokea ubungo plaza ni ukosefu wa subira, utovu wa nidhamu, lakini kubwa ni kutoielewa vyema demokrasia. Walioingia na mabango walipaswa kuvumiliwa na kuacha waonyeshe mabango (mawazo) yao. Kisha kutolewa kwa amani. Hata hivyo nao walipaswa kupima hali. Wangetoa hayo mabango nje ya ukumbi au wakati wa mapumziko. Ikiwa walipanga kufanya fujo, hiyo ni shauri ingine. Ninashangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa wapi kudhibiti haya!
Tatizo kuu ninaloliona ni kuwa pamoja na kuwa kwenye mfumo wa vyama vingi kwa zaidi ya miaka ishirini hatujawaandaa watu wetu kwa mabadiliko. Kuna watu wanaofikiri hakupaswi kuwa na mabadiliko ya kutawala na pale wananchi wanaposema na kutenda tofauti na mawazo yao wanalazimisha ya kwao. Tuwaandae wananchi jamani kuokoa taifa letu. Tumeyaona yaWaburkinabe tusifikiri sisi ni tofauti.
Warioba anapaswa kusoma alama za nyakati
naamini mtu anae itwa chabruma ndio paul makonda, nchi hii hadi makonda viongozi. Kazi kweli.Hiyo laana ya kumpiga chupa mzee warioba haitakuacha