Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

We uliepost hii footage lengo lako nikuonyesha nini..maana hiyo dak 1.18 haionyeshi vurugu yoyote au we ni mke wa Makonda? kakutuma?
 
makonda is just of one of the other side of the ruling corrupt devils....!
 
Makonda ni mpuuzi mmoja hivi anayewaza nafas ktk sisiemu . Naunganisha ,hivi jamani inaitajika akili ya kiasi gani kujua kuwa katiba ineacha mambo ya msingi? Pia hivi watu wanashindwa kujua kwa nini chenge na wauni wenzake wameondoa kile kipengele kilichoweka utaratibu ea kuwa na akaunti nje ya nchi?
Hivi hamjiulizi ni kwa nini wameondoa tena miko ya uongozi iliyowekwa na tume?
Yan ni ngumu kiasi gani kujua sababu ya kung'ang'ania mawaziri watokane na wabunge? Jamani mbona haya ni mambo mepesi ambayo ukiambiwa tu yaliondolewa kwenye rasimu ya wananchi na sisiemu,unajua tu ni kwakuwa walijua wao vitawabana. Tumieni akili kufikili jamani.
 
hiyo picha ni dhahiri makonda anasaidiana na askari kumuokoa warioba
sawaka, kweli unamfahamu Makonda? Hebu ziangalie kwa makini hizi picha mbili;

10689950_811960558826475_5493547065308733594_n.jpg

Je unamuona huyo chizi kwenye hii picha hapo juu?

attachment.php

Je kwenye hii picha huyo unadhani huyo Makonda katokea wapi?
Kwa mtu mwenye akili timamu hizo picha mbili zinatoa taswira ya kilichotokea bila chenga.

Tusubiri sheria ichukue mkondo wake maana wote wanafahamika na tumeshuhudia kwa macho yetu walichomfanya Mzee Warioba. Ikishindikana umma utawachukulia hatua mmoja mmoja au wote kwa pamoja.
 
Tusubiri sheria ichukue mkondo wake maana wote wanafahamika na tumeshuhudia kwa macho yetu walichomfanya Mzee Warioba. Ikishindikana umma utawachukulia hatua mmoja mmoja au wote kwa pamoja.

Mbona mnajipa kazi kubwa mzee warioba yupo kwa nini mnamsemea? yeye kasema hawezi kusema? Kama kupigwa yeye ndiye aliyepigwa na yeye ndiye atakayethibitisha. Acheni malumbano yasiyo na tija.
 
IVI WEWE unategemea maadui wa MAKONDA WAWE CHADEMA makonda anavyoyatukana makundi mengine ndani ya CCM unategemea adui yake AWE CDM anavyomsakama LOWASA kwenye mitandao bado unategemea adui yake atoke nje ya CCM au umeingia jana kutoka DUBAI, ZITO alijitakia mwenyewe MWIGULU lazima CDM wamchukie kwakuwa aliuwa watu kwenye mkutano wao we unategemea MUUAJI APENDWE na WAFIWA au BINADAMU YEYOTE asiyependa dhambi tene kubwa kama uuaji????? we vp!!!!

makonda ni mccm na kupinga wenzake wa ccm ni kwa 7bu binafsi. Hakuna lingine. Mtu ukitumika kama robot, remote control ikikosa ndo unakuwa mwisho wako.
 
hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.
kwa akili hii bado unataka kusikilizwa maoni yako.
 
kwa akili hii bado unataka kusikilizwa maoni yako.

Mleta mada amefanya vizuri kuonyesha upande mmoja wa shilingi, kaonyesha wema na ukarimu wa Makonda na ubora wa askari kanzu!
Sasa tunaomba mwingine aliyekuwepo atuletee picha za upande wa pili
 
warioba hajapigwa. Huo ulikuwa ni uzushi wa vijana walioandaliwa kufanya fujo ili ionekane kuwa ccm ndo wamefanya fujo

hao vijana si uliwaanda weweee... Sasa subiria zam yako tafuta tambala la kujifutia utembee nalo kwa taadhari tu.
 
sawaka, kweli unamfahamu Makonda? Hebu ziangalie kwa makini hizi picha mbili;

10689950_811960558826475_5493547065308733594_n.jpg

Je unamuona huyo chizi kwenye hii picha hapo juu?

attachment.php

Je kwenye hii picha huyo unadhani huyo Makonda katokea wapi?
Kwa mtu mwenye akili timamu hizo picha mbili zinatoa taswira ya kilichotokea bila chenga.

picha ya kwanza anamtoa mlangoni kwenye vurugu za watu, ya pili yeye na askari wanamvuta kuondoka eneo la tukio.....sasa wapi anapompiga..
 
Back
Top Bottom