Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Aisee hii ni kweli kabisa twafaaa na waafrica tunavyopenda kupigana fimbo du ha a ha ha ha hatabaki mtu
Si waafrica pekee, mataifa yote yana hiyo tabia(ndivyo tulivyo umbwa) na asije akakwambia mtu kuwa waafrika ni wazinzi(usiamini) njia nyingi hutumika kusambaza HIV direct na indirect, na wengi hawajui walipataje HIV.
 
tumblr_m7gbjj1Kh51qb3bm8o1_500.jpg
d4c67adaef2cd9cb6d0178100f15d35c.jpg
egypt4.jpg
361c0b6a684e5bfc23d6f3db4c7267a9.jpg
Na tutaendelea kuwepo..
 
Farao taharka ndiye aliyeikomboa jerusalem kutoka kwa asiatic invaders.
kingtaharqa1.jpg
 
Pia kuna hawa wa visiwa vya FIJI inasemekana pia asili yao Tanganyika, walitokea mwambao mwa ziwa Tanganyika hadi wakafika Atlantic Ocean. Wao wataView attachment 429979 miili mikubwa ya Kiafrica hasa, ila bado huwezi wakuta weusi kabisa kama sisi. Hata ukimkuta mweusi tii basi nywele zake za kishobe kidogo. Hata neno FIJI wanasema linatokana na nene VITI.
Hapo Fiji kulikuwa na chuma kimoja cha kuitwa George speight kilifanya vurugu sana mwaka 2000 baadae wakakitupa ndani kifungo cha maisha sijui kiliishia wapi!
 
Hapo Fiji kulikuwa na chuma kimoja cha kuitwa George speight kilifanya vurugu sana mwaka 2000 baadae wakakitupa ndani kifungo cha maisha sijui kiliishia wapi!
Unajua wafiji asilia wanaanza kuwa na wasiwasi kuhusu wingi wa wahindi ktk nchi yao na kweli "wanahaja", ukisikia vurugu za fiji kiini chake ni hicho.
 
Unajua wafiji asilia wanaanza kuwa na wasiwasi kuhusu wingi wa wahindi ktk nchi yao na kweli "wanahaja", ukisikia vurugu za fiji kiini chake ni hicho.
Na ndicho alichokuwa anapigania speight uzawa aliwatia kizuizini karibu viongozi 35 wa chama tawala.
 
_772611_speight300.jpg
speight alikerwa na waziri mkuu ambaye ni asili ya wahamiaji wa kutoka bara hindi
Mahendra_Chaudhry_2015.jpg
chaudhury
 
Ukichunguza kwa undani, inakera sana, madhara yatakuwa baadaye kuliko sasa
Mkuu, yaani ni sheeedah.ndo (maana simuungi mkono kwa kitendo chake)..iddi amini aliona kama mbwai na iwe mbwai.nasema tena siungi mkono kitendo hicho.
 
Come on now, historia darasa la tano.

Mtumbwi ulikuwa unavua samaki Africa ukapotea baharini kuibukia India. Hawakuhitaji Global Positioning System navigation.

The greatest of far-out explorers in history, Bathlomeo Diaz, Henry the Navigator, Vasco Da Gama, Ibn Battuta, Marco Polo, Christopher Columbus they all made discoveries by chance and stumbling, far from geoscience precision.

Red Indians wa Marekani wanaitwa Indians leo kwa sababu Christopher Columbus alidhani kafika India. Kumbe bana wale sio wahindi.

Vasco Da Gama aliingia chaka akielekea India kutafuta black pepper, akajikuta yuko Kariakoo.

You did not need high tech navigation to conquer world frontiers.

Hao Weusi wengi ni kutoka generation ya utumwa kama Weusi wa Marekani.

Kumbuka Ureno ilitawala baadhi ya maeneo ya India, hasa Goa tangu 1500's , kwa zaidi ya miaka 450 na koloni zake Afrika zilikuwa chini ya Gavana wa Goa.

Ureno ilikataa kuirudisha Goa hata baada ya India kupata uhuru mwaka 1947. Ilichukuliwa kinguvu na jeshi la India mwaka 1961.

Wareno wanajulikana kama wauzaji wakubwa wa watumwa duniani.


5a787d5b11fa81ac02aba012248d37ea.jpg


Soma zaidi chini kutoka ibtimes.com:


Among the many different ethnic groups and peoples scattered across the vast Indian sub-continent, perhaps the most unusual and surprising are The Sidis -- the “lost Africans” of India.

Long before black African slaves were moved en masse to the New World to toil in tobacco, sugar and cotton plantations, a smaller number of Africans were brought (or forcibly taken) eastward to India.

Some of these people, primarily from East Africa it is believed, were employed as soldiers, entertainers and slave-laborers by the various princely states of India.

This migration is believed to have lasted from the 12th to the 19th centuries.

Helene Basu, associate professor at Free University in Berlin, and an expert on Sidis, told Frontline: “In the 13th and 14th centuries, slaves were mainly drawn from lower Egypt, Ethiopia, Somalia and Sudan -- the Nile area. Many of them ended up being so-called 'slave-soldiers' in the armies of conquerors and Sultans all over the Islamic world.

After the 16th century, when the Europeans, specifically the Portuguese, entered the scene, slave-trade routes moved further south along the East African coast, as far as Mozambique. Slaves were drawn from the hinterland of the coastal regions, such as inland Tanzania, Malawi or even the Congo.”
 
Uyunani ya kale pia ilikuwa na waafrika,na ushahidi upo.pia kuna wakolshi ambao inasemekana ndio walioasisi story ya amazoni.
fx51adf057.jpg
picha hii imechorwa kwenye mtungi inaonyesha waafrika wakiwa na mwanamke wa ulaya.unaweza pia ukaona kama wako kwenye hekalu fulani.
 
Wakolshi inasemekana walikuwa askari wa farao aliwapeleka katika moja kampeni zake za kijeshi,katika maeneo ya black sea wakazaana na wenyeji wengine walibadilika lakini kuna walio survive mpaka miaka ya hivi karibuni.
895423.png
 
Shujaa huyu wa ki abkhazi ni baadhi tu wa wakolshi wa blacksea waliobakia huko ulaya.
939cb722cb73aeb9e7f88d7351a693a9.jpg
 
Kumbuka Ureno ilitawala baadhi ya maeneo ya India, hasa Goa tangu 1500's , kwa zaidi ya miaka 450 na koloni zake Afrika zilikuwa chini ya Gavana wa Goa.
Hizi story zimepikwa ila tunajua hasa watunzi wake.wala isikupe shiida.
 
Back
Top Bottom