Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Makabila ya waafrika wa nubia waakimpelekea farao dhahabu,Dhahabu pia iligunduliwa na waafrika ushahidi tunao.
 
Wakati wa ming diynasty waafrika walifanya safari nyingi kwenda china na wachina wengi walikuja katika pwani yetu.
 
Jamii ya kabila la wahadza wakiota moto, hawa ndo waanzilishi.
 
Watu wa kwanza kabisa duniani kutumia dhahabu walikuwa ni nubians,maana ya neno "nubb"maana yake ni dhahabu.
 
Wanubi wakipeleka zawadi za dhahabu kwa farao. bangili ya dhahabu ikiwa na picha isis.
 
Natamani iwepo Organization itakayowakutanisha watu weusi popote duniani kwa ajili ya kujuana na kujenga umoja
 
Natamani iwepo Organization itakayowakutanisha watu weusi popote duniani kwa ajili ya kujuana na kujenga umoja
Ni kweli kabisa,unajua marehemu Marcus Garvey alijaribu saana,mpaka walinunua meli wakaipa jina la BLACK STAR jina ambalo marehemu NKRUMAH alikuja kulipenda sana na mpaka leo bendera ya ghana ina black star.mkuu msome huyu jamaa marcus garvey.
 
Huyu jamaa ndio muasisi wa Universal Negro Improvement assaciation and African Communities League (UNIA-ACL) huyu jamaa ndiye aliyesababisha nchi zetu za kiafrika zipate uhuru.
 
Huyu ni myu muhimu saanaa tafadhali msomeni huyu.
 
Nitamsoma nikikaa vzr, na sitaki kusikia kama missions zake zilishindikana haha ngoja nimsome
Daima katika jambo jema changamoto ni kubwa lakini huyu jamaa alikuwa na moyo wa chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…