Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna ukweli ndani yake.Hili pia nimelisikia kwa weusi wa China
Kudaaadeki wana vibyongo vya maana utafikiri wanachambia hamira vile
Ni kweli kabisa,unajua marehemu Marcus Garvey alijaribu saana,mpaka walinunua meli wakaipa jina la BLACK STAR jina ambalo marehemu NKRUMAH alikuja kulipenda sana na mpaka leo bendera ya ghana ina black star.mkuu msome huyu jamaa marcus garvey.Natamani iwepo Organization itakayowakutanisha watu weusi popote duniani kwa ajili ya kujuana na kujenga umoja
Aisee rangi zao nzuri weusi mng'ao wakuteleza
Nitamsoma nikikaa vzr, na sitaki kusikia kama missions zake zilishindikana haha ngoja nimsomeMkuu msome huyu jamaa utaipata pichaView attachment 433656 View attachment 433657 View attachment 433656 View attachment 433657
Daima katika jambo jema changamoto ni kubwa lakini huyu jamaa alikuwa na moyo wa chuma.Nitamsoma nikikaa vzr, na sitaki kusikia kama missions zake zilishindikana haha ngoja nimsome