Utawala wa kifarao haupo tena,lakini ustaafrika uliotuachia tunao mpaka leo.maujuzi hazitumiki tena dunia ya leo hata utawala wa Kifarao Misri haupo tena
Mkuu kuna ukweli ndani yakeHistoria ineonyesha kuwa sanamu zao za zamani zilizokuwa zinaabudiwa zilikuwa ni za mtu mweusi.
Kamera haina hata karne moja unusu,mkuu hizi kamera sijui kama zinaweza kuhifadhi picha kwa mamia ya miaka acha maelfu ambayo wamisri wa kake wamechora kwenye mawe.Kipindi hicho kulikua na kamera? Au mpaka leo hawajafa?
Hapana, walikuwa wanaweka kumbukumbu kwa njia ya michoro yenye ujumbe ndani yake!Kipindi hicho kulikua na kamera? Au mpaka leo hawajafa?