Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Obeliski hili likiwa limesimamishwa nje ya white house washington.
obeliskwash.jpg
 
Obeliski la wamisri wa kale limesimikwa huko rome italy.
1600-HippodromeObelisk.jpg
 
Lakini ndugu zangu hii ni siri nyingine ya mababu zetu,ni vigumu kuelewa maana halisi ya minara ya maobeliski.
 
Katika dini ya Kihindu au kwa jina lingine wanajulikana kama Baniani.
Historia ineonyesha kuwa sanamu zao za zamani zilizokuwa zinaabudiwa zilikuwa ni za mtu mweusi.
Zilibadilishwa baada ya Wakoloni kuingia huko, na India siku hizi wamezifanya ni za mtu mweupe.
Hapa pia tunagusia kuwa pia picha za zamani sana za Bwana Yesu, hazikuonyesha Bwana Yesu alikuwa ni Mzungu.
Kuwa na Waafrika India sio la ajabu, maana Australia kuna Aborijinia ambao asili yao ni Afrika.
Elimu ya Sayansi inaonyesha kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi Afrika. Kila mwanadamu hapa duniani ana damu ya Mwafrika.
 
Sanamu za Obeliski sio tena mashuhuri. Sanamu ya Bwana Nelson Mandela ndio inayoonhoza sasa, wameisimamisha huko Marekani, nje ya Bunge la Uingereza, Palestine pia inewekwa kubwa sana na sehemu nyingi duniani.
Hii ni enzi ya kurudisha hadhi ya mwanaadamu.
Mwaandamu Kwanza.
 
Kipindi hicho kulikua na kamera? Au mpaka leo hawajafa?
 
Kipindi hicho kulikua na kamera? Au mpaka leo hawajafa?
Kamera haina hata karne moja unusu,mkuu hizi kamera sijui kama zinaweza kuhifadhi picha kwa mamia ya miaka acha maelfu ambayo wamisri wa kake wamechora kwenye mawe.
 
Wamisri wa kale wamejichora katika rangi halisia,hapa wanaonyesha ustadi wao katika fani ya ujenzi.
 

Attachments

  • unfinished obelisk.jpg4.jpg
    unfinished obelisk.jpg4.jpg
    27.6 KB · Views: 96
Hapa kwenye picha hii mmisri mweusi akiwaonyesha washangaaji ni namna gani mababu walivyokata jiwe, tazama mkono wake.
 

Attachments

  • unfinished obelisk.jpg3.jpg
    unfinished obelisk.jpg3.jpg
    23.8 KB · Views: 188
Afu wale weusi wa India wanaojiita Siddi, ukiwatazama vizuri hatuna tofauti nao kimaumbile wa huku East Africa, ila maisha yao yanahuzunisha kweli wanabaguliwa kila wanapokwenda, iwe shuleni, hospital, makazini sokoni na kwingineko, mpaka inafika wakati wanaamua kuchoma nywele zao za kiafrica ili zifanane na za wahindi alafu wavae kama Wahindi ili wasibaguliwe kila wanapoenda!
 
EEEBWANA EEE MAAJABU YA SABA YA DUNIA,ILA SIO WEUSI NI CHOCOLATE COLOUR AKIOGA VIZURI NA KULA VIZURI ATAITINGISHA DUNIA KWA UREMBO
 
Back
Top Bottom