Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Kuna fununu kuwa hata wamisri wa kale walikuwa wakifanya, lakini kulikuwa na sababu,inasemekana lilikuwa swala la kiimani zaidi.
 
Picha hii ni ya wamisri wa kale,kama inavyoonyesha lakini kujua haswa maana yake inanipa shida.
 
Mkuu hata katika jeshi la hannibal wa carthage kulikuwa na watu weusi,kuna fununu kuwa hata hannibal mwenyewe alikuwa mwafrika mweusi.
 
Hapa ni sarafu ikiomuonyesha hannibal na matembo yake huyu jamaa aliwatesa warumi.
 
cheikh Anta Dioup, mwana historia mashuhuri kabisa wa kiafrika.ndugu zangu msomeni huyu, asili yake senegal.
 
"Valley of the kings"hili ni eneo lililokuwa la makaburi ya mafarao wengi,pamoja na wakuu wa dini liko thebes/luxor misri tazama ustadi wa jengo na ustadi wa nguzo zilivyo simama,waafrika ndio wajenzi wa kwanza kabisa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…