Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

kutafuta sabuni bafuni.
Mkuu hiyo siyo asili yetu waafrika,lakini ilianza zamani huko uyunani.tazama mchoro huu kutoka kwa waegia wa uyunani.
Masturbation.jpg
 
Kuna fununu kuwa hata wamisri wa kale walikuwa wakifanya, lakini kulikuwa na sababu,inasemekana lilikuwa swala la kiimani zaidi.
 
Picha hii ni ya wamisri wa kale,kama inavyoonyesha lakini kujua haswa maana yake inanipa shida.
egyptsex.jpg
 
Mkuu hata katika jeshi la hannibal wa carthage kulikuwa na watu weusi,kuna fununu kuwa hata hannibal mwenyewe alikuwa mwafrika mweusi.
 
Hapa ni sarafu ikiomuonyesha hannibal na matembo yake huyu jamaa aliwatesa warumi.
Hannibal.jpg
 
54b706ae721a2_cheikh_anta_diop.jpg
cheikh Anta Dioup, mwana historia mashuhuri kabisa wa kiafrika.ndugu zangu msomeni huyu, asili yake senegal.
 
"Valley of the kings"hili ni eneo lililokuwa la makaburi ya mafarao wengi,pamoja na wakuu wa dini liko thebes/luxor misri tazama ustadi wa jengo na ustadi wa nguzo zilivyo simama,waafrika ndio wajenzi wa kwanza kabisa duniani
Valley-of-the-Kings.jpg
 
Back
Top Bottom