Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Indian are inducing intentional evolutional extintion of these minority tribes. This naton is rude. They are entwined with primitive culture of separatism that is cast classes. UNITED NATION should intervene this, another type of war. You dont need guns to kill, deny human being necessary for his survival that is genocide. Indian Government has to answer basic questions, as to why are they keeping these people as wild live in a park. UN secretary kindly do something for these inocent people. They dont have hospitals, schools etc. Indian Goverment is removing these people from the surface of the earth. This will be your legacy
 
K
nya hawakubali ng'o.
 
Wanawake wameumbika hawa jamani duh!!!
Hao wazee wanafaidi sana halafu kwa nini wanapungua idadi inamaana hawazaliani sana au hawana muda wa kugegedana?
Kuna barabara bwana. Kwa hiyo wahindi wamefanya kama park ya kuvutia watalii
 
Maana yangu ni kwamba, kwanini tunashindwa kuzuia manyanyaso kwa watu weusi popote pale ulimwenguni? Nguvu zetu za kuzuia haya mambo ni wapi?
"The enemy within" ndio inayotusumbua mkuu. Wazalendo ni ni wengi ila wanauzwa kwa ajili ya tonge.
 
"The enemy within" ndio inayotusumbua mkuu. Wazalendo ni ni wengi ila wanauzwa kwa ajili ya tonge.
Aisee kweli kabisa, Jews halisi ni blacks wenye kama wale wa Ethiopians, kuna clip moja ya BBC waliieleza vzr kuhusu Saving The Forgotten Jews...kumbe blacks ni jamii kubwa sana!
 
Aisee kweli kabisa, Jews halisi ni blacks wenye kama wale wa Ethiopians, kuna clip moja ya BBC waliieleza vzr kuhusu Saving The Forgotten Jews...kumbe blacks ni jamii kubwa sana!
Ancient hebrews walikuwa ni watu weusi,hawa wa sasa asili yao ni khazaria.
 
Kisiwa cha Sentinel Kaskazini kilichoko katika Bahari ya Hindi nchini India kinatajwa kuwa kisiwa hatari kuliko vyote duniani kiasi cha serikali ya India kufanya kuwa ni kosa la kisheria mtu yoyote kuwa karibu na kisiwa hicho kwa umbali wa Maili 3.

Inasemekana kwamba kwenye kisiwa hicho wanaishi watu na viumbe wanaotisha na hawawezi kuchangamana na binadamu wa kawaida kwani huweza kuwadhuru na inaaminika kuwa wameishi kwenye kisiwa hicho kwa miaka zaidi ya 60, 000.

Kisiwa hicho kimezungukwa na msitu mkubwa na kinakisiwa kuwa na viumbe kati ya 50 hadi 400 na imekua vigumu watu kufanya utafiti zaidi kwenye kisiwa hicho na kupata taarifa nyingi kwa sababu ya mazingira hayo ambayo yanaogopesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…