the deadline
Member
- Sep 26, 2013
- 62
- 106
SIDHANIKwa hiyo hiyo picha imetoka kisiwani?
aminiWhaaaaaaat!!! Upuuzi
Oky mkuu ngoja niaminiamini
Mkuu, ni kweli wamefanikiwa kujitenga na ulimwengu, lkn kuna taarifa nyingi kuwahusu.SIDHANI
kaka image hujengeka unaposikia...hiyo picha ipo imaginary..mfano ukiambiwa joka lenye vichwa saba na msitu mnene hapo utajenga picha ...au hujakaa na babu ako nnStory nilianza kuiamini, lakini tatizo hiyo picha imepatikanaje kama utafiti inakuwa ngumu kufanyika?
utumie videoMkuu, ni kweli wamefanikiwa kujitenga na ulimwengu, lkn kuna taarifa nyingi kuwahusu.
Kuna video pia
Nimekisikia pia
Watakua wamerusha droneStory nilianza kuiamini, lakini tatizo hiyo picha imepatikanaje kama utafiti inakuwa ngumu kufanyika?
Wazungu wabaguzi sana. Hicho Kisiwa kipo India Ila wanatuonyesha Wanaoishi humo ni Waafrika.
Sanaaa mkuu hawaj majaa wabaguzi minimaWazungu wabaguzi sana. Hicho Kisiwa kipo India Ila wanatuonyesha Wanaoishi humo ni Waafrika.
Eti kisa wamesema ni Watu wa ajabu na Wakutisha. Watu weusi wanatumika kama alama ya vitu vya ajabu, kutisha , kuogopwa.